Staa na Legendi wa Soka, Alessandro Del Piero aliyewahi kukipiga katika klabu za Juventus, Odisha , Sydney Fc na Timu ya Taifa ya Italia, amezungumzia kuhusu maisha yake baada ya kustaafu katika soka.

Del Piero “Ukiwa kama msakata kabumbu unajikita kwa 100% katika kile unachopaswa kukifanya. Maisha yako yanajikita katika mazoezi, mapumziko na mechi.

 

del piero, Del Piero na Maisha Baada ya Soka., Meridianbet

Ukitundika daruga unabadili kila kitu. Unabadili mienendo, unaanza ku’miss mambo ya ‘locker room(vyumba vya kubadilishia nguo), wachezajii wenzako.

Kamwe sitaridhika kwa 100% (na kustaafu kwangu) kwa sababu ninapenda kucheza mpira wa miguu – lakini huo ndio uzuri wa maisha.

Katika ‘career’ yangu nilijitahidi kufanya mazuri -na makosa yakiwemo- lakini nilijitahidi. Sikuwahi kurudi japo hatua moja nyuma kukwepa majukumu ama kukwepa juhudi za makusudi za kufikia mafanikio yenye matokeo chanya.”


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

del piero, Del Piero na Maisha Baada ya Soka., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

18 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa