Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus amezungumzia maana ya ushangiliaji wake pale anapofanikiwa kufunga magoli.

 

Jesus Azungumzia Kuhusu Ushangiliaji Wake.

Gabriel Jesus, “Ushangiliaji wangu huwa ni ujumbe kwa mpenzi wangu wa zamani tuliyeachana, alikuwa hapokei simu zangu wakati nikiwa Palmeiras kipindi hicho, lakini akaja kuanza kunitumia ujumbe wa Sms baada ya mimi kuhamia Manchester City.”

Lakini pia inadaiwa kuwa Gabriel Jesus hufanya ushangiliaji wa vile kwa ajili ya mama yake ambaye siku zote alikuwa mwenye hofu huku akimuwazia mwanae na alikuwa akitaka awe anampigia simu pindi anapokuwa ametoka kwenda kwenye mechi za mpira wa miguu.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

jesus, Jesus Azungumzia Kuhusu Ushangiliaji Wake., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

19 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa