EA Sports wametangaza majina makubwa ambayo yatakuwa na kiwango kikubwa cha ubora ambao watakuwepo kwenye michezo yao ya kieletroniki kwa kwenye FIFA 23 lakini hakuna mchezaji kutoka ligi ya Seria A aliyetangazwa.

Wachezaji 23 wakubwa ambao watakuwa na kiwango cha juu cha ubora kwenye michezo yao kieletroniki inayotarajiwa kutolewa hivi karibuni hakuna mchezaji yoyote kutokea ligi ya Seria A ambaye amaetajwa kwenye listi hiyo.

EA Sports, EA Sports Kutokuwa na Mchezaji kwenye FIFA 23 Kutoka Seria A, Meridianbet

Kwenye listi hiyo mchezaji wa Real Madrid Karimu Benzema akiwa anaongoza huku akifuatiwa na Robert Lewandowski na mchezaji Paris Saint Germain Kylian Mbappe.

Japo hawajatoa viwango vyote kwa ujumla lakini inatarajiwa kwamba wachezaji wote nyota kutoka Seria A watakuwa chini ta  87.

Hii hapa chini ni listi ya wachezaji waliopewa viwango vya juu zaidi kwenye FIFA 23.

91 VIWANGO VYA JUMLA 

 • Karim Benzema (Real Madrid)
 • Robert Lewandowski (Bayern)
 • Kylian Mbappé (Paris Saint-Germain)
 • Kevin De Bruyne (Manchester City)
 • Lionel Messi (Paris Saint-Germain)

90  VIWANGO VYA JUMLA

 • Mohamed Salah (Liverpool)
 • Virgil van Dijk (Liverpool)
 • Cristiano Ronaldo (Manchester United)
 • Thibaut Courtois (Real Madrid)
 • Manuel Neuer (Bayern)

89  VIWANGO VYA JUMLA

 • Neymar (Paris Saint-Germain)
 • Son Heung-Min (Tottenham)
 • Sadio Mane (Bayern)
 • Joshua Kimmich (Bayern)
 • Casemiro (Manchester United)
 • Alisson (Liverpool)
 • Harry Kane (Tottenham)
 • Ederson (Manchester City)
 • N’Golo Kante (Chelsea)
 • Jan Oblak (Atlético Madrid)

88 Overall

 • Erling Haaland (Manchester City)
 • Toni Kroos (Real Madrid)
 • Marquinhos (Paris Saint-Germain)

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa