Chama cha soka nchini Uingereza FA kimempa onyo Wayne Rooney baada ya kidai kuwa alivaa kiatu chenye meno marefu sababu alikuwa anataka kumuumiza mtu kwenye mchezo kati ya Man Utd na Chelsea mwaka 2006.

Rooney akizungumzia kuhusu kuvaa viatu vyenye meno tofauti kwenye mchezo kati ya Chelsea na Man Utd mwaka 2006, ambapo John Terry alitoka uwanjani akiwa na magongo.

FA

“Mara zote nilikuwa navaa viatu vyenye meno ya plastic ikiwa na chuma kidogo lakini kwenye mchezo ule nilibadilisha kabisa na kuvaa viatu vyenye meno ya chuma makubwa, kwa sababu nilitaka kujaribu na kumuumiza mtu.

“Meno ya chuma kipindi kile yalikuwa yanaruhusiwa lakini nilifikilia ikiwa kuna changamoto, ila nilijua kuwa nahitajika kutumia vizuri, hakika nilifanikiwa, John Terry aliondoka uwanjani na magongo, pia nilaicha tobo kwenye mguu wake wa kushoto.”

Chama cha soka FA kiliwasiliana na Rooney kwa ajiri ya uchunguzi ka mazungumzo yake aliyofanya na chombo cha habari na Rooney aliwajibu wiki iliyopita na wamempa onyo kocha huyo wa Derby kutokana na kitendo chake.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa