Kiungo wa klabu ya Everton Tom Davies ameandika kwenye ukarasa wake wa mitandao ya kijamii kuwa hatarajii kurudi tena uwanjani msimu huu kutokana na majeruhi mpaka msimu ujao.
Tom Davies ambaye hajaonekana uwanjani tokea mwezi November na amefanikiwa kuanza mchezo mmoja tu kwenye msimu huu, na alipata majeraha hayo kwenye mchezo dhidi ya Tottenham Hotspur tarehe 7 November.

Tom Davies, Tom Davies: Sitacheza Tena Msimu Huu, Meridianbet

Mwezi December alipata tatizo la paja wakati akifanya mazoezi ya kujiweka sawa ili kuweza kurudi uwanjani, lakini klabu ya Everton walisema kuwa wanaendelea na uchunguzi na walikuta alikuwa na tatizo la tendon ambalo lilikuwa linahitaji kufanyiwa upasuaji.

Shabiki alimuuliza Tom Davies kwenye ukurasa wa Instagram ” lini unaweza kurudi uwanjani, tunakukumbuka sana Tommy.”

Davies alijibu “msimu ujao”

Tom Davies ametumia muda wake wote kwenye klabu ya everton ambapo amefanikiwa kucheza michezo 158 kwenye mashindano yote.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa