Staa wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Hispania, Cesc Fabregas ametuma salamu za pongezi kwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kwa kuwa mwanamke wa kwanza Afrika kuwa CEO wa klabu.

Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC, Babra Gonzalez ameposti video hiyo ikimuonyesha mshambuliaji huyo wa zamani wa vilabu vya Arsenal, Barcelona na Chelsea akimtumia pongezi.
Fabregas ambaye anakipiga katika klabu ya AS Monaco ya nchini Ufaransa amempongeza Barbara kuwa CEO wa kwanza mwanamke kwa upande wa vilabu Africa.
Mshambuliaji huyo pia amemtakia kila la kheri Babra Gonzalez kwenye utendaji wake wa kazi katika klabu ya Simba SC.
Good afternoon @cesc4official 😁
Thank you for your kind message. I hope to see you in Tanzania soon. I can’t believe it’s been 18 years since you signed for our @Arsenal ❤️ᴏɴᴄᴇ ᴀ ɢᴜɴɴᴇʀ, ᴀʟᴡᴀʏꜱ ᴀ ɢᴜɴɴᴇʀ. pic.twitter.com/LgiCMUugmP
— Barbara Gonzalez (@bvrbvra) September 23, 2021
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.


