Chief Executive Officer (CEO) ndio kiongozi wa juu kabisa katika kampuni au shirika husika ambaye yupo kama kiungo kati ya Body of Directors na wawekezaji (Shareholders/Stockholders).
Jukumu la kwanza la CEO ni kusimamia maamuzi ya kampuni (Corporate decision) yafanyike kama ilivyoamuliwa katika vikao vya ndani vya bodi au mkutano mkuu wa kampuni (Annual General Meeting).
Hivyo Barbara atashika nafasi ya CEO Simba SC kuhakikisha maamuzi ya kurugenzi yanafanyika kwa masilahi ya pande zote hususani katika kuhakikisha Simba inafanikiwa katika malengo yake ya muda mfupi na muda mrefu . Hii haihitaji ujue danadana za mpira bali ni taalumu kiutendaji .
Jukumu la pili la CEO ni kusimamia operesheni zote za kampuni na mali zake . Operesheni kubwa ya Simba SC kwa sasa ni kuhakikisha wanafanya vyema ligi kuu Tanzania bara , ASFC na klabu bingwa Afrika . Hii itamkata CEO kuhakikisha mambo yote muhimu ambayo yanasimama kama driving force ili operesheni hizi zinafanikiwa, yanakuwepo.
Mfano malipo stahiki kwa wachezaji ikiwemo na bonus (kama atakuja na motivation strategies), kambi bora na zenye huduma bora kwa wachezaji, kuhakikisha watendaji wake wa chini wanatimiza majukumu yao kwa wakati (follow up / Evaluation), pia kupata feedbacks kwa watendaji wake wa chini ili kuja na mbinu mbadala pale kwenye shida au changamoto . Hii pia ahitaji ujue historia ya soka utimize haya . Ni kazi ya kitaaluma kwa CEO .
CEO ana jukumu la kuhakikisha kampuni inakuwa na mawasiliano mazuri na wawekezaji wake. Hivyo Barbara ana jukumu la kuhakikisha menejimenti ya Simba SC inakuwa katika mahusiano mazuri ya kiutendaji . Kikubwa ni kuhakikisha taarifa muhimu zinafika sehemu husika ili kufanyiwa kazi kwa wakati.
Hii pia ndugu zangu ni kazi ya kitaaluma kwa msomi kama Barbara si jambo geni hata kama field ya soka ni ngeni kwake lakini mazingira ya utendaji wa kazi ni yale yale ambayo amesomea . Tukumbuke huyu Masters degree katika Maendeleo na Utawala . Hii accountability inafundishwa vyema hapo pia hata kwa wale waliosoma Master degree katika usimamizi wa Biashara (MBA).
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Adelta
Barbara Yuko vizuri na anatambua majukumu yake@meridianbettz
Sadick
Simba nguvu moja,songeni mbele. Tatizo lipo upande wa kiwango cha hisa na nani mwenye maamuzi ya mwisho kulingana na kiwango cha hisa#meridianbettz
Elika
Simba kama simba nawakubar sana..huyo ceo mpya najua atafanya kazi yake kwa hekima na nidhamu..Mungu saidia simba nguvu moja
Fatina mfigi
Kapige kazi Dada! Msimbazi tumekuamin!
Agness
Nihabari njema kwa Wana simba
Sauda
Wanawake tukiwezeshwa tunaweza.
felister
kila la kheri barbara
Zeiyana
Wanapo elekea wana simba wanajitaidi sana
Ernest
Kuna vurumai kubwa linaendelea sasa kuteuliwa kwa Barbara Gonzalez kama CEO
Caroline
Vp kuhusu 20 billioni..??..ha ha ha kwetu raha tuu
Lydia Emmanuel Magoti
Simba ninguvu moja kwaio wafate jinsi klabu inavyo takiwa kwenda kwaio Barbara Gonzalez yupo vizuri kwaio nguvu Kaz ifatwe
Mwajumah
Simba nawakubali sana Yan uyu ceo mpya naamini atafanya kazi kwa nguvu moja ya ushindi tu#Meridianbettz
Mwanahamisi
Wanawake tunaweza
Dorophina
Ngoja tuone kazi yake atakavyoifanya sie yetu macho
Rose kapinga
Hii ndio simba bwana kila kitu kipo under control,kila la kher CEO katika majukumu yako ya kazi!!
Janeflora malisa
Hbr njm
Shafii
Pongezi kwa uwongozi wa simba kwa kumtea CEO mpya.
Povel
Hot trend town🔥🔥🔥🔥
aisha
Barbara yuko vizuri sana na tumempokea kwa mikono miwili
Tatu
Tumepata sasa CEO mpya ngoja tuone uchapakazi wake kama mwanamke kwenye club kubwa Kama ya simba naamini mambo yatakuwa sawa
Hidaya
Usituangushe tumekuamini
Neema
Habari njema
Gabriel
Hapa kunaonekana Kuna mapungufu sana katika idara ya utekelezaji but Ni habar njema sana 👍
Antony Luseno
Matumaini yangu nafasi hiyo ataitendea vyema
Hope mwaikuka
All ze best barbra
Saupha mohamed
Wanawake wapo juu
Amiri Kayera
Kalib C.E.O mpya
jullie
safi sana simba
Issa
Aitendee simba kinachotakiwa
Rehema
Big up
Amani
Pia mwana mke Ni mtu Bora pia Wana misimamo thabiti
Khadija
Big up#meridianbettz
Sabrina
Woooh ! Kazi nzuri CEO
Ester jackson
Pongezi
Theckla
Safi Sana Simba
Fatuma kasomo
Pongezi cmbaa
warda
I wish all the best barbara#Meridianbettz
magdalena
namtakia kila la kher nina imani na yeye juu ya kukiendesha vyema kikosi cha simba
Tahiya
Kila la kheir Barbara piga kazi mama wabongo tuna maneno mengi ila fanya kilichokuleta
Flomena
Hongera
Furahav
Hongera sana.
Shani
Ceo anatakiwa awe na ufaham na soka je mo kazingatia hilo pia?
David Pere
Simba nguvu moja,songeni mbele. Tatizo lipo upande wa kiwango cha hisa na nani mwenye maamuzi ya mwisho kulingana na kiwango cha hisa