FC Seoul Waomba Radhi

Klabu ya Korea Kusini imeomba radhi mashabiki wake baada ya kutumia midoli ya ngono kama mashabiki.

FC Seoul walisisitiza kuwa ilikuwa midoli ya kawaida na sio midoli ya ngono – lakini walikuja kugundua kuwa msambazaji wa midoli hiyo ndio mtengenezaji wa midoli ya ngono.

Jumapili wakati FC Seoul ikicheza mchezo wake kwanza nyumbani kwenye msimu K League.

Uwanja ulikuwa mtupu – ni moja ya hatua kuzuia maambukizi ya COVID-19.

Kwahiyo kabla ya mechi kampuni inayoitwa Dalcom ilipeleka ofa ya kujaza baadhi ya siti na klabu ilikubali.

Jumla kulikuwa ba midoli 30, 28 ya kike na 2 ya kiume.

Japo, mashabiki waliongalia mechi mtandaoni, waligundua kuwa baadi ya midoli ilikuwa ni kwaajili ya ngono na kulikuwa na matanganzo ya tovuti za ngono kwenye nguo zao na ikapelekea klabu kuomba radhi Instagram na Facebook.

Dalcom wamesema matangazo yametoka kwenye kampuni ya midoli ya ngono ambayo wanaubia na Dalcom, na walitaka kupiga picha midoli yao kabla ya mechi.

“Walitakiwa kutoa chapa zao kabla ya mechi kuanza,” alisema Mkurugenzi wa Dalcom Cho Young-june. “Lakini kuna baadhi ya logo zilisalia na kuonekana kwenye macho ya umma.”

FC Seoul normal fans

FC Seoul walisema hawakutazama majukwaa kuangalia kama Dalcom wamefanya kama walivyokubaliana, na hatukujua kama walifanya kazi na kampuni ya ngono.

12 Komentara

    Duuuh! Hatari kweli tnx 4 newz # meridianbet tz

    Jibu

    Asante meridianbet kwa update

    Jibu

    Ndo huungwan huo thanks meridian kwa habar za Moto Moto za kimichezo

    Jibu

    duh hii kali

    Jibu

    Daaah hatar sana hii

    Jibu

    Noma sana Asante meridian

    Jibu

    Ubunifu wao mzuri sana

    Jibu

    Hii kali sana.

    Jibu

    Wazo zuri ila maookezi mabaya

    Jibu

    Duuh hii noma sana

    Jibu

    Du! Hii ni habari taarifa m bomba

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

Acha ujumbe