Feisal awanyima mihela Prisons

Bao pekee la Yanga lililofungwa na Feisal Salum kwenye mchezo wa jana limewanyima kitita cha Mil 20 nyota wa Tanzania Prisons.

Feisal awanyima mihela Prisons

Mchezo huo wa ligi kuu ulipigwa jana jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar ambapo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa dakika ya 89.

Kabla ya mchezo huo, wadhamini wa Tanzania Prisons, Silent Ocean waliahidi kitita cha Mil 20 kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo watapata ushindi kwenye mchezo huo.

Feisal awanyima mihela PrisonsBaada ya ushindi huo Yanga wanarejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 35 baada ya kucheza mechi 14.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.