Mambo yanazidi kubadilika kuelekea hatua ya 16 bora. Bingwa mtetezi wa AFCON, Algeria sasa ni rasmi ameyaaga mashindano.
Kwa namna ya kipekee na kustaajabisha, Algeria wanaishia hatua ya makundi kunako AFCON licha ya kuwa na kikosi kilekile kilichobeba ubingwa 2019.

Mabingwa hawa watetezi, hawajaambulia ushindi wowote katika michezo 3 ya makundi waliyocheza (wamefungwa 2 na kusuluhu 1) na hivyo, ni rasmi wameishia mikononi mwa Ivory Coast.
Riyad Mahrez anaungana na Andre Ayew (Ghana) kwenye orodha ya mastaa walioaga mashindano kwenye hatua za makundi.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA