Dembele: Ajibu Mapigo "Mimi Sio Mtu wa Kuongopa"

Mshsmbuliaji wa timu ya Barcelona Ousmane Dembele yupo kwenye sintofahamu baada ya kuwa na matatizo na klabu yake kuhusu swala la mkataba  baada ya klabu kumtaka asaini au aondoke, huku yeye mwenye akitaka kumaliza mkataba wake na kuondoka huru majira ya kiangazi.

Baada ya mkurugenzi wa michezo Mateu Alemany kuweka wazi mbele ya umma msimamo wa klabu kuhusu swala la Dembele, leo mfaransa huyo mwenye miaka 28 ametumia ukurasa wake wa Instagram kutolea ufafanuzi kuhusu tetesi zinazozungumwa kumuhusu yeye.

Dembele
Barua ya wazi kutoka kwa Dembele

“Sijaachakusoma mambo yanayonihusu mimi kwa miaka 4, tetesi zimekuwa kunikosoa kwa miaka 4, watu wamekosa haya kwa kusema uongo kuhusu mimi wakiwa na nia kuniumiza, nimekuwa nawapuuzia hadi sasa, nimefanya makosa? ndio, kuanzia leo nitakuwa nawajibu.

“Nina miaka 24 kama vijana wengine, nina dosari, sijakamilika, nimeishi kipindi kigumu, majeruhi, uviko-19 uliniasili, pasipo kufanya mazoezi hata kidogo, niliombwa kucheza na nilifanya hivyo pasipo kulalamika.

“Natambua bahati yangu ya kujitolea kwenye kazi nzuri zaidi duniani, pia ujumbe wangu uko wazo, na wakanya yeyote mwenye wazo kwamba sijihusishi na miradi ya kimichezo.

“Nawakanya yeyote ambaye anania ambayo sikuwa nayo, sitaki yeyote aseme kuhusu mimi au muwakilishi wangu amabuye namwamini kwa asilimia zote, bado nina mkataba, bado nahusika kwa asilimia zote kwa lawama za klabu na kocha.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe