Zikiwa zimepita siku 16 tu mara baada ya ushindi wa kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huko Lisbon na likizo fupi, nyota wa klabu ya soka ya Bayern Munich wamerudi kwenye majukumu yao ya soka.
Vipimo vya virusi vya Corona na mafunzo ya kimtandao, yalifanyika katika kikosi cha Hansi Flick siku ya Jumanne.
Ijumaa wiki hii, Manuel Neuer na wenzake watafanya mazoezi ya pamoja tena katika viunga vya mitaa ya Saebener baada ya vipimo vya afya vya radiolojia.
“Kuanza msimu mpya mishale ya saa zote zimewekwa katika sifuri,” alisema mwenyekiti wa klabu hiyo Karl-Heinz Rummenigge, akimaanisha ni kama wana aanza mwanzo.
Kocha Flick ana siku kadhaa tu kuwaanda wachezaji wake tayari kwa mechi yake ya kwanza ya ushindani ya msimu ya Bundesliga dhidi ya Schalke ,mnamo Septemba 18.
“Kuna msemo huu mzuri: Mafanikio hayamilikiwi kamwe, yanakodishwa tu na kodi ni ya kila siku,” Flick alisema.
“Sote tunajua kwamba Bundesliga itakuwa na upinzani zaidi. Borussia Dortmund ilipata nguvu, Leipzig pia ni wapinzani wenye nguvu, Bayer Leverkusen na Borussia Moenchengladbach.”
Niklas Suele na mchezaji mgeni wa Bayern Leroy Sane wanarudi kutoka katika majukumu yao katika timu ya taifa Ujerumani.
Suele anataka kurejesha nafasi yake ya kuanza kwenye safu ya ulinzi katika kikosi cha Bayern baada ya kipindi kigumu alichokabiliana nacho kutokana na kuwa majeruhi.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
Fatuma kasomo
Safii
Mwanahamisi
Safi sana
Rehema Dickson
Vizuri
Samira
Vizuri sana
Dorophina
Habari njema tunataka tuone Bayern msimu ujao mfanye vitu vizuri mashabiki waridhike
Sauda
Bayern tunataka mabadiliko
Rose kapinga
Kila la kheri
Sadick
Bayern haijasajiri sana msimu huu na wachezaji watatu muhimu waliokuwa pale kwa mkopo wameshaondoka#meridianbettz
Caroline
Naona bayern mnajipangaaa
Nasra
Safii
Mwajumah
Safi sana
Adelta
Good 👍#meridianbettz
rama
Maoni:safii sana
Neema
Jambo jema hilo
magdalena
bayern naona wanajipanga vyema kwa ajili ya msimu ujao
Fatina mfigi
Jambo zur
JULIANA WILBARD ALEX
Inapendeza
aisha
Bayern safari hii kazi ipo naona watafanya vizuri zaidi
Antony Luseno
Kwa mzimu huu wana nafasi tena ya kufanya vyema
Tumaini kasalile
Good
Shani
Bayern safi sana kuwahi na msimu huu nafikir wanaweza kutwaa tena ubingwa
Hidaya
Bora wajipange upya wazidi kutupa burudani
Janeflora malisa
Nice
Rehema
Bonge la makala
Saupha mohamed
Jambo zuri
Gabriel
Tunatarajia kuona msimu ujao mfanye vitu vizuri mashabiki waridhike maana Bayern Munich wako vzur sana 👍
Issa
Bayern moto season hii
Leonard
Mwanzo uwe mzuri jiandaeni
Elika
Tunatarajia kuona kikosi kipya
Hope mwaikuka
Hope mmejipanga vyema sasa
Theonestina
Safiii
Ester jackson
Wako vizuri sana Bayern Ila msimuhuu kutakuwa na mabadiliko
Amiri Kayera
Goo champion
Flomena
Ni vizuri sana kujiandaa mapema
Sabrina
Watakua vizuri bayern
Theckla
Itasawasaidia
Samiah
Bayern watakuwa vzr
Emmy cleopa
Safiiiii
Povel
Hiiiiiii ni Dalili ya pazia la bundasliga kuanza
Isaya massawe
Mambo yameivaaaa
Amani
Tunasubiri kwa hamu sana
felister
naona Bayern wanajipanga
Latifa juma mohamed
Vizuri sana
Latifa juma mohamed
Mambo matamu,tunatarajia msimu ujao Bayern wafanye Mambo mazur
Lydia Emmanuel Magoti
Jambo zuri
Ernest
Mambo yanazidi kunoga Barani Ulaya.
Tatu
Bayern naona wanajipanga kwa msimu unaokuja
Salma ngende
Vizuri
Genia Sikaluzwe
Safi
David Pere
Tunatarajia kuona msimu ujao mfanye vitu vizuri mashabiki waridhike maana Bayern Munich wako vzur sana
warda
Wapo na kasi mpya ushindi sio jambo la mchezo
Tahiya
Hawajawai kutuangusha mashabiki wao