Saul Alvarez maarufu kama ‘Canelo’ ameamua kufungua kesi dhidi ya promota wake.
Canelo amefungua kesi dhidi ya Golden Boy Promotions, ambao ni promota wake na mrusha matangazo DAZN baada ya kushindwa kufikia makubaliano juu ya pambano lake lijalo.
Bondia huyu, raia wa Mexico alikuwa nje ya ulingo tangia aliposhinda pambano lake la WBO light-heavyweight dhidi ya Sergey Kovalev Novemba iliyopita.
Canelo amekuwa akihusishwa na mapambano kadhaa ikiwa ni pamoja na mapambano dhidi ya mabondia wa Uingereza Callum Smith na Billy Joe Saunders.

Saul Alvarez, Canelo alitarajiwa angerejea ulingoni siku ya Cinco de Mayo, ambayo hufanyika kila mwaka Mei 5, kama kumbukumbu ya Mexico ya ushindi dhidi ya jeshi la Ufaransa. Kwa bahati mbaya dili hili halikufanikiwa.
Mpaka sasa tarehe ya kurejea ulingoni kwa staa huyu haijafahamika, ndiyo maana ameamua kuingia katika vita ya kisheria na promota wake Oscar De La Hoya na Golden Boy Promotions, pamoja na washirika wao katika kurusha pambano hilo DAZN kwa madai kuwa walivunja mkataba bila kufuata utaratibu.
Kufuatia suala hilo na masuala mengine ya kimkataba, Canelo anataka kulipwa fidia ya takribani dola za kimarekani milioni 280.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Sauda
Fidia inahusika katika hili..
Fatuma kasomo
Gud news
Rehema Dickson
Jambo zito hili
Hidaya
Hii iwe fundisho kwa promota wote wazinguaji
Samira
Anahaki ya yakudai fidia coz kila mtu anapaswa kuheshimu mkataba
Dorophina
Inabidi promota ajishushe waongee yaishe laasivyo Sheria ichukue mkondo wake amlipe fidia anayoitaka
Rose kapinga
Nilijua kibongo bongo tuu kumbe hadi mbele mapromota wanazingua!!
Caroline
Tusubiri maamuzi ya mahakama
Nasra
Hatarii sana
Mwajumah
Duuh noma sana haki itendeke apo#Meridianbettz
Adelta
Asante kwa taarifa#merianbettz
rama
daaaaa achatuone itakuwaje
Neema
Mambo ya kesii hata kwa wenzetu wako makini navyo
Sadick
Oscar De La Hoya alikuwa Bondia mahiri wakati wake#meridianbettz
magdalena
KABLA YA KUFUNGUA KESI INABIDI WAZUNGUMZE KWANZA ILI WAPATE SULUHISHO
Tumaini kasalile
Kweli magumashi hadi mbele ni noma
JULIANA WILBARD ALEX
Asante kwataharifa
Latifa juma mohamed
Tusubiri maamuzi ya mahakama
aisha
Saul hataki masihara tunasubili maamuzi
Janeflora malisa
Haki muhim ‘
Rehema
Atarii
Saupha mohamed
Safi apate haki yake
Gabriel
Mapromota muda mwingine wanazingua sana sio kuwategemea sana
Issa
Bondia makini kwenye ulingo
Leonard
Kesi iwe ya kweli na haki
Hope mwaikuka
Komesha huyo
Theonestina
Majanga daaah
Ester jackson
Tafuta haki yako
Amiri Kayera
Promoter aelewek Acha amshitaki
Flomena
Ni vizuri kutafuta haki yako
Sabrina
Duuh hatari
Theckla
Wameshindwa kuafikiana kweli
Samiah
Hatari
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa meridianbettz
Elika
Haki itendeke hapo
Povel
Gud update
Isaya massawe
Wamepishana nn sasa
Amani
Hiii imekuaje tena
felister
ana haki ya kudai fidia
Latifa juma mohamed
Tusubiri maamuzi ya mahakama
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri alicho kifanya utetea Akiake
Ernest
Promota mbona kama Mamluki vile??!!
Tatu
Kama kesi imefika mahakamani basi sheria ifuate mkondo wake
Salma ngende
Utapata haki yako
David Pere
Mapromota muda mwingine wanazingua sana sio kuwategemea sana
Genia Sikaluzwe
Hatari
warda
Saul anataka mapambano hataki mchezo