Jumamosi ya Mei 16 ilikuwa ni siku ya furaha kwa jamii ya wapenda soka duniani kote kutokana na kushuhudia michezo ya ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga ikirejea tena baada ya …
Makala nyingine
Wakati mashabiki wa Atletico Madrid wakipiga simu majumbani kwao kwa furaha kwamba wameishuhudia timu yao pendwa ikitwaa Ubingwa wa kwanza Ulaya, wakati mashabiki wa Real Madrid wanamwaga machozi kwamba wamelikosa …
Mimi ni miongoni mwa watu ambao huwa siamini kitu kama kilivyo, huwa napenda kukichunguza kwa undani. Tabia yangu hii ya udadisi ilinifanya nigombane na watu wengi enzi za ukuaji wangu, …
Mchezaji mshambuliaji wa klabu ya soka ya RB Leipzig, Timo Werner anaripotiwa kuwa anataka kwenda kwa klabu ya soka ya Liverpool pekee kwa msimu huu wa majira ya kiangazi na …
Kwa mujibu wa kocha wa Union Berlin, leo wamekamia kufanya maajabu mengine wakiwa nyumbani huko Stadion AnderAlten Forsterei wakati watakapo wakaribisha vinara wa Ligi Bayern Munich. Huku Bundesliga ikirudi bila …
Bado naiwaza fainali ya world cup 2006, Pirlo wa usiku ule hakuwahi kuonekana kabla na hajawahi kuonekana tena. Usiku mmoja wa kiume sana katikati ya dimba. Wafaransa walilala wanaiota miguu …
Schalke 04 ndio timu ya kwanza katika historia ya Bundesliga kufanya sub 5 kwenye mechi moja. Klabu ya Schalke 04 jana Jumamosi ilikuwa timu ya kwanza kwenye historia ya Bundesliga …
Mara baada ya kurejea kwa ligi kuu ya nchini Ujerumani, Bundesliga sasa ni hakika kuwa kuna mbio kubwa sana za kuwania kiatu cha dhahabu kwa Lewandowski v Werner Mchezaji wa …
Bundesliga imeendelea leo huko nchini Ujerumani ambako miamba RB Leipzing na SC Freiburg wametoka sare ya 1-1. Freiburg almanusra ipate ushindi ugenini dhidi ya RB Leipzig. Iliwalibidi Leipzing watoke nyuma …
Chelsea bila Terry, Ramires na Ivanovic ila kila mchezaji anaamini wanashinda mechi ile, Ndege inatua pale Munich Ujerumani, wanashuka na Mpiga picha wao Mathew Ashton na camera zake, Binadamu anaeenda …
Benfica wameiambia Manchester United na Wolves kuwa mshambuliaji wao nyota, Carlos Vinicius hawawezi kuondoka kwa bei yoyote chini ya release clause yake €100m. Wapinzani Hao wa Premier league wamehusishwa na …
Beki wa FC Barcelona, Nelson Semedo ameonyesha anataka kurudi Benfica kwani uvumi unaonyesha ameazimia kuondoka klabuni.. Pia hata Barça imemuweka mmoja kati ya watakaopigwa bei Baada ya msimu huu. Mchezaji …
Ikiwa ni miezi miwili imepita sasa tangu Bundesliga ihairishwe, sasa moja ya ligi kubwa Ujerumani imerejea tena. Wikiendi hii kutakuwa na mechi hizo ambapo ni Mechiwiki ya 26 ya michuano …
Ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga ndiyo ligi kubwa ya kwanza barani Ulaya kurejea hewani baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa Covid-19 ambapo tukashuhudia kusimama kwa mechi nyingi sana duniani. Sisi …
Imerejea! Sasa Bundesliga imerudi hewani na mitanange inaanza siku ya leo hii ya Jumamosi tulivu kabisa. Mahasimu wa muda mrefu sana Borussia Dortmund na Schalke 04 wanachuana kwenye mtanange wa …
Manchester City wapo tayari kumpa mkataba mpya straika wa Brazili, Gabriel Jesus wenye thamani ya £120,000-kwa wiki ili kumvutia asalie klabuni baada ya Juventus kuonyesha nia ya kumhitaji huduma yake. …
Wikiendi hii akili ya kila mpenda soka imehamia kule kwenye mikeka ya Bundesliga! Kuna gemu nzuri sana wikiendi hii ingawa mashabiki hawatokuwepo viwanjani lakini burudani itabakia pale pale! Kama kawaida …
Kocha Mkuu wa Augsburg Heiko Herrlich atakosekana kwenye mechi ya leo dhidi ya Wolfsburg baada ya kuvunja sheria za karantini kwa kutoka hotelini kwenda kununua dawa ya meno. Herrlich, ambae …
Hayawi hayawi hatimaye yamekua. Ile May 16 iliyotangazwa kuwa ligi kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ ni leo. Weekend zinazoboa za bila mechi kwenye runinga hazipo tena. Ligi kuu ya Ujerumani inakuwa …
Kiungo wa zamani wa Juventus, Stephen Appiah amemtaja nyota wa zamani wa AC Milan, Mtukutu Gennaro Gattuso kama mpinzani mgumu zaidi ambaye amewahi kutana dhidi yake. Gattuso mwenye umri wa …

