Makala nyingine

Jadon Sancho, 20, ametajwa kuwa anataka kurejea Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuondoka huko mwaka 2017. Alitokea Manchester City kwenda kukipiga Bundesliga akiwa na Borrusia Dortmund hadi leo. Kwa …

Tetesi za Usajili

Mshambuliaj Wolves, Raul Jimenez, 28, amesema itakuwa ngumu kukataa ofa kutoka kwenye vilabu vya Hispania Real Madrid and Barcelona. Golikipa wa Manchester United, Dean Henderson, 23, ambaye ametumikia kwa mkopo msimu 2019.20 …

Watu watatu katika klabu ya FC Koln wamekutwa na maambukizi ya Corona, klabu hiyo imethibitisha japo wamesema mazoezi yataendelea kama ilivyopangwa. Koln ipo imebakiwa na mechi tisa na wapo nafasi …

Mwenyekiti wa kamati ya matibabu wa UEFA anasema michuano inaweza kuanza tena licha ya mwenzake wa FIFA kusema haipaswi kuanza kabla ya Septemba. Mwenyekiti wa kitengo cha Matibabu cha Shirikisho …

Lionel Messi anatamani Barcelona imuuze Ousmane Dembele kuliko Philippe Coutinho. Mbrazili huyo kwasasa anahusishwa sana kuondoka Barcelona kipindi hiki cha kiangazi huku Chelsea, Manchester United, Tottenham, Arsenal na Paris Saint-Germain …

“Sijawahi kufundishwa na kocha mzuri kama Mou, wengine walikuwa wazuri ila huyu ni zaidi ya wote. Na kama ilivo kwa makocha wote, namuheshimu sana Mou” yalikuwa maneno yaliyojaa heshima ya …

UEFA wametoa kiasi cha paundi milioni 236.5 kwa ajili ya mashirikisho ya soka 55 ambayo ni washirika wake ili waweze kupata ahueni katika kipindi hiki kigumu. Fedha hizi zimepatikana kutoka …

Inadaiwa kuwa ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga inaweza kuwa ya kwanza kurejea uwanjani, hayo yamesemwa na waziri wa Ujerumani kwamba kuna mazungumzo yanayoendelea kwa sasa ili ligi irudi mapema mwezi …

Vilabu 36 vya ligi mbili za juu nchini Ujerumani ikiwemo Bundesliga vimesaini makubaliano ya kuendelea na ligi kuanzia Mei 9 mwaka huu kwa masharti maalum ya tahadhari dhid ya virusi …

Nini maana ya Simulated Reality League na namna gani unaweza kuibetia? The Simulated Reality Soccer League inatumia uwezo wa kufanya kazi wa mashine za kompyuta kuangaza ubora wa timu na …

Chelsea watafungua mazungumzo na Freiburg juu ya mpango wa kumsajili mshambuliaji wao, Luca Waldschmidt, kulingana na ripoti huko Ujerumani. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 amefunga mabao sita katika …

Alphonso Davies amecheza kwa kiwango cha juu akiwa na Bayern Munich, hiyo imetosha kabisa kusaini mkataba mpya na miamba hao hadi 2025, Klabu hiyo ya Bundesliga imetangaza leo Jumatatu. Davies, …

1 2 3 29 30 31 32 33 34 35
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.