Makala nyingine

Atletico Madrid wanatarajia kumsajili Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Liverpool na wamejiandaa kumtoa kiungo wao, Thomas Partey ili kufanya dili la kubadilishana. Mghana huyo alikuwa sehemu ya Kikosi cha Atletico ambacho kilishinda …

Tetesi za Usajili

Tottenham na Manchester United wanachuana za kuwania saini ya beki wa kulia wa  Paris St-Germain na Ubeligiji, Thomas Meunier, 28. Manchester United wanafikiria mbadala wa David de Gea, japo golikipa huyo …

Timu zitaruhusiwa kufanya mabadiliko matano ya wachezaji kwa mechi baada ya  International Football Association Board (IFAB) kufanya mabadiliko ya muda kwenye sheria za mpira ili kuendana hali ya kurejea kwa …

Mfungaji anayeongoza kwa wakati wote wa Ujerumani, Miroslav Klose ameteuliwa kuwa Kocha msaidizi wa Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich kwa msimu ujao. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 amekuwa …

Tetesi za Usajili.

Newcastle wapo tayari kutumia £70m kumnasa kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho kama klabu itakubali kumruhusu nyota huyo auzwe, Mbrazili huyo kwasasa yupo kwa Mkopo Bayern Munich. Matajiri wa Newcastle pia …

Ume “miss” mikiki mikiki halisi ya dimbani! Basi sawa, tunaanza na Bundesliga  ambayo inarejea kurindima dimbani! Inakuwa ligi ya kwanza kwa ligi za Ulaya zilizokuwa zimesimamishwa kurejea! Ligi hii ya …

Road to Istanbul

Viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Uturuki wanajiamini kuwa na uwezo wa kuwa wenyeji wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwezi Agosti. Nihat Ozdemir amesema nchi yao Ligi itaendelea …

Msimu wa Bundesliga upo huru kuanza katikati ya Mei, baada ya serikali kuwasha taa ya kijani kuruhusu mechi ziendelee. Mpira wa miguu nchini Ujerumani ulisimamishwa katikati ya Machi, kwasababu ya …

1 2 3 28 29 30 31 32 33 34 35
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.