Sahihi ya Kinda wa Kibrazil Gerson Inawindwa na Vilabu Vikubwa Ulaya

Arsenal, Tottenham na Borussia Dortmund zaingia vitani kuwinda saini ya kiungo wa kati wa Flamengo Gerson, baba wa nyota huyo wa Brazil amethibitisha.Gerson alifanikiwa kuonesha kwangi kikubwan sana kwenye fainali ya klabu bingwa duniani ambapo Flamengo walikutana na Timu ya Liverpool ambao ndio mabingwa wa ulaya.
Gerson
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 hakuwa na msimu mzuri alipojiunga na Roma (2016) lakini amekuwa mchezaji muhimu kwa Flamengo tangu arudi nchini Brazil, lakini maekua akitazamwa sana na vilabu vikubwa ulaya.

Gerson amecheza Flamengo michezo 43 tangu arudi nchini Brazil na amefanikiwa kutajwa kwenye timu bora ya mwaka Serie  kutokana na mchango wake mkubwa kwa klabu hiyo kutwaa taji la ligi na Ligi ya mabingwa (CopaLibertadores) mwaka 2019.

Baba mzazi wa nyota huyo mzee Marcos Santos, ambaye pia ni meneja wa Gerson, amesema:
“Hakuna mtu aliyejua kuhusu Arsenal kumtaka Gerson, lakini kwa kuwa sasa ninawaambia, kila mtu amejua,”

Juu ya taarifa ya Spurs na Dortmund, ameongezea kwa kusema: “Kila unalosikia kuna ukweli, vilabu hivyo vimekuwa vikimfatilia.”

10 Komentara

    Watu wa namna hii wanakuwaga hyped sana na medias ila wakisajiliwa tu kwenye klabu kubwa viwango vyao ndo vinaishia hapo, wamepita weng kama hao, ila labda huyu atakuwa wa tofauti

    Jibu

    Gerson anajua

    Jibu

    piga kaz dogo

    Jibu

    Gerson ni fundi sana

    Jibu

    Gerson namkubal Sana

    Jibu

    Epl ataiwezaa?

    Jibu

    Asibweteke kwa kuona vilabu vikubwa vinamuhitaji akapambane afike mbali

    Jibu

    Vijana ndo kila kitu.

    Jibu

    Gerson fundiii Sana wa mpira

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.