Bosi wa Manchester United Ole Gunnar ameripotiwa kuwa tayari ameshapata mbadala wa Romelu Lukaku! Nyota huyu aluzwa mapema msimu wa joto uliopita.
Ripoti zinataja kuwa klabu ya Manchester United inafikiria kuinasa saini ya nyota wa Lyon Moussa Dembele kama mbadala wa nafasi iliyoachwa na Lukaku.
Dembele amefanya vizuri katika ligi ya nyumbani, Ufaransa, Ligue 1 kabla ya msimu kusimama kwa sababu ya changamoto iliyoibamba dunia ya virusi vya corona. Alifunga magoli 16 katika mechi zake 25 alizocheza.
Klabu ya Menchester United iliamua kumuuza Lukaku kwenda Inter Milan msimu wa joto uliopita baada ya kuonekana kama hajafikia vyema mahitaji ya Ole Gunnar.
Lukaku ameenda kuwa mchezaji wa matra kwa mara Inter Milan, tofauti na ilivyokuwa siku zake za mwisho pale United, inaripotiwa kuwa staa huyo alijaribu kushinikiza kuondoka klabuni hapo baada ya kuona hafurahii tena kusalia.
Hata hivyo, pengo la lukaku halikuwa na kesi sana kwa Man United ambao vijana wao Anthon Martial, Mason Greenwood, na Rashford wakifanya vyema tangia kuondoka kwake. Lakini hii haijaondoa ukweli kuwa bado wanahitaji mshambuliaji mpya.

Kwa mujibu wa Daily Star, nyota wa Lyon, Moussa Dembele ndiye anayetazamiwa kuwa mrithi wa pengo la Lukaku katika safu ya ushambuliaji ya Ole Gunnar.
Japokuwa ripoti zinawataja United kuwa hawatafanya usajili kwa sababu ya changamoto ya kifedha, duru zingine zimewataja kuwa wapo tayari kumnasa mfaransa huyu ambaye amefunga magoli mengi zaidi ya Neymar.


Gabriel
Kwa dembele anaweza kuziba pengo maana man u tokea aondoke lukaku kumeonekana kuna gepu kubwa sana
Lombo
Asante meridianbet kwa update
Salma
Bora wa msajili
Aziza mushi
Itapendeza Kama wakimsajili
Theckla
Man ilikuwa inalegalega Sana toka aondoke lukaku na haikuwa inafanya vizuri lkn wakifanikiwa kumpata dembele watakuwa wamepiga hatua. nyingine
Asia Abdy
Mshambiliaj anahitajika
Ester mmakasa
Kama anafanya vizuri katka timu yake basi wamsajili ili awe mbadala wa lukaku.
Ernest
Lukaku atabaki kuwa Lukaku!!!! Man U Mtamkumbuka sana.
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa taarifa
Adelta
Bora wamsajili
Furaha
Iko poa.
Juliana
Iko poa
theonestina
Wamsajiri tu
Hamidu
Safi.igalo anajua japo amekuja man utd umri mkubwa kwa siku zijazo atasaidia pale mAn utd
Rehema
Iko fresh wamsajili 2
Tatu
Ni vizuri kumsajili
winfrida
wamsajili tu sio mbaya
Chiku
Wafanye maamuz magumu mambo yasiwe mengi
Neema juma
Kumbee. Asante kwa taarifa meridianbet
Mariam
Iko vizur
Agness
Watafanya la maana wakimsajili
Antony Luseno
Kifaa hicho kitatua Old Trafford #Meridianbettz
David pere
Sawa mbadala ni yule dogo greenwood ayafaa sana
Mwajuma
Itapendeza sana
Povel
Hasajiliwe tu huyo kwn ni mbadala wa lukaku asante meridian bet tz#
Meridian bet tz#
aisha
wamefanya vizuri kumsajili
Ester jackson
Usajili mzuri huo ni mchezaji mwenye rikodi nzur
Rehema Dickson
Safi sanaa
David pere
Jamaa anjua Ndio maana Wana mwitaji abakie pale
Frank patrick
aaaaa weeeee achana kabisa na Mwalukaka wewe
Amani
Mousa dembele ni mchezaji mzuri Sana anaweza ziba pengo la lukaku pia man u wanaitaj kupata washambuliaj wawili wazuri#meridianbettz
geniaskaluzwe8
Safi sana #meridianbet
SADICK
Wachezaji wanaokuzwa Academy ya Club endapo watapata nafasi ya kucheza mara kwa mara watapata mafanikio. Kwangu Greenwood ni mbadara hasa wa Lukaku#Meridianbettz
Samiah
Nijambo zuri sana kumsajili
Zeiyana iddi
Man u iliyumba sana msimu huu mpya tunataka mpira uchezwe kama inawezekana pengo la lukaku lizibwe
khadija
wamsajili tuuu kwan kuna tatizo gan
Kenani
Itakua fresh
Samira
Man bado ilikua inahitaji sana mchango wa lukaku
Tahiya
Iko poaw sana
felister
Lukaku atabaki kua lukaku
Lydia Emmanuel Magoti
Ikopoa sana
Devotha
Vizuri