Ujerumani Wako Tayari Kuimalizia Bundesliga Msimu wa 2019/20

Mkurugenzi mkuu wa Borussia Dortmund Carsten Cramer amesema kwamba mchezaji atakayepatikana na virusi vya Corona katika Ligi ya Bundesliga hatakuwa sababu ya Kushindwa kurejea kwa Ligi hiyo.

Bundesliga imepangwa kurejea mwisho mwa juma hili bila ya mashabiki. kama ingetokea ligi hiyo ingekatishwa basi Buyern Munich ndio ingepewa ubingwa ila kutokana na mipango na mikakati iliyo wekwa imeonesha uwezekano wa ligi hiyo kumalizika na kama ingetokea ingekatishwa basi ingesababisha kuvurugika kwa ratiba kwa msimu wa mwaka 2020-2021

Timu zote zimekuwa karantini kwa muda wa zaidi ya majuma mawili na ni ishara kuwa wachezaji wote wapo salama kwa asilimia kubwa kwakua kila mchezaji amepitia vipimo na kambi zipo chini ya uangalizi,

Wikendi hii kutakuwa na michezo kadha wa kadha miongoni mwao ikiwa ni Derby kali sana siku ya Jumamosi Borussia Dortmund dhidi ya Schalke 04. na ukiwa na Meridianbet APP au kutembelea tovuti ya www.meridianbet.co.tz utaweza kubashiri mechi hizi kwa kuchagua option zako pendwa na Meridianbet watakupa Odds za kutosha.

13 Komentara

    Ni habar njema kwa wapenzi wa kandanda na wazeee wa kubashir(kubeti) thnks meridian kwa habar za michezo na burudani

    Jibu

    Good news 👍 @ # meridianBetTZ

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridian

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Hiyo ndio Ujerumani na bundesliga yao

    Jibu

    Hbr nzuri..tulimiss burudani ya soka # meridianbettz

    Jibu

    Habari nzur.

    Jibu

    Habari mzur

    Jibu

    Kwa habar za mpira nawapongeza

    Jibu

    nimeipenda iyoooooo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

Acha ujumbe