Mshambuliaji wa Tottenham, Delle Alli alivamiwa na wezi Jumatano asubuhi akiwa nyumbani kwake London.
Nyota huyu alipigwa usoni na wavamizi wawili waliokuwa na silaha, na kuamuru kutolewa kwa vitu vyote vya thamani walivyokuwa navyo.
Kwa mujibu wa chanzo cha The Sun, Alli mwenye umri wa miaka 24 alikuwa akicheza Pool na kaka yake na mpenzi wake nyumbani kwao maeneo ya Hadley Wood, Kaskazini Mashariki wa jiji la London, na ilikuwa mapema asubuhi tukio hili lilipotokea.
Wavamiaji ambao walijizuia nyuso zao kwa maski walitokomea na saa na vitu vingine vya thamani mali ya Allin na Mpenzi wake Ruby Mae.
Alli amesema kuwa hilo ni tukio baya kuwahi kumtokea. Amewashukuru watu wote wanaomtumia salamu za pole.
Mamlaka za polisi zimeweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa kwa kuhusishwa na tukio hilo, huku jitihada za kuwabaini na kuwatia nguvuni wahusika zikiendelea!
Msemaji wa klabu ya Spurs, aliweka wazi kuwa klabu imekuwa ikijitahidi kutoa sapoti inayohitajikwa kwa Dele na wenzie ambao anaishi nao karantini. Klabu imetoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za washukiwa basi anaweza kuwasaidia polisi.


Antony Luseno
Pole kwa Del Ali #meridianbettz
Frank patrick
Dah pole sana kwake aisee
Hamidu
Pole sana fundi wa mpira#merudianbet
Hamidu
Pole sana fundi wa mpira # meridianbettz
Tatu
Du Pole kijana
Asante kwa taarifa #meridianbettz
Samiah
Pole sana jembe letu
Ester jackson
Pole sana na asante meridian kwa taarifa
David pere
Kweli hatari na corona hii bado wanampa majanga mengine tena
Adelta
Pole sana
Juliana
Da! jaman,pole yake aise
Lombo
mmmh
Mariam
Pole sana jembe letu
Asia Abdy
Daah pole sana
aisha
pole kwa delle ahsanteni meridian kwa taarifa
Neema juma
Hii inasikitisha jamani. Pole sana
winfrida
Ni kweli waliomvamia dele ni wavamizi au na mambo ya viwanjani? ngoja tuone uchunguzi utatuambia nini juu ya hili tukio. Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu
Asha
Pole Sana fundiiiii wa soka
Nasra
Dah pole yake
Furahav
Majanga.
Povel
To sad thnks meridian bet tz
mathayo sonje
tumpe pole kwa kilichompata dele maana kwa kipindi kama hichi unapata janga inakua ni changamoto
geniaskaluzwe8
Pole San fundi wa mpira#meridianbet
Evaluziga
Pole sana
Tahiya
Duuh pole yake adelle
Emmy cleopa
Pole Sana fundi wa mpira #meridianbettz
Swai
Oooooo to sad
Salma
Pole sana
Mwajuma
Da sikitisha sana mungu amponye
felister
majanga juu ya majanga
Ester mmakasa
Pole kwake jamani.
Lydia Emmanuel Magoti
Pole Sana fundi wampira
Amani
Hi tabia inabidi ikomeshwe maana si Mara moja wachezaji kuvamiwa#meridianbettz
Zeiyana iddi
Daaah..!pole sana kijana..!
Rehema
Pole sn
christopher
Pole kwake
Sylvester
Pole Dele Mungu akujalie upone mapema urudi kwenye ligi
Theckla
Pole yake jamani
Waziri
Pole yake…..mungu amsimamie apone fasta
Kenani
Mungu afanyie wepes
winfrida
pole sana delle alli
Ernest
Pole sana Delle, hakika waalifu watatiwa nguvuni.
Mwanaidi
Pole sana mungu atamfanyia wepesi
SADICK
Duh hatari sana!
Shafii
Izo tabia inapaswa zitokomezwe maana Wana michezo watakua hawaishi kwa amani
Neema hassan
Pole Sana jembe
Fatina mfingi
Mmh hatar