Ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga ikiwa ndio Ligi ya kwanza barani Ulaya kurejea na kutupa nafasi ya kuona kandanda tena Live, leo kuna mechi kubwa. BIG MATCH! Dortmund vs …
Makala nyingine
Mchezaji Thiago Alcantara hatokuwemo wakati klabu ya soka ya Bayern Munich inaumana na mahasimu wao wa jadi, Borussia Dortmund kwenye Der Klassiker. Meridianbet inaangalia nani atakuwemo na nani hatokuwemo katika …
Bayer Liverkusen wanatarajia kupata ushindi wa sita mfululizo kwenye mechi za michuano yote pale wanapoenda kumkaribisha Wolfsburg kwenye pale BayArena kwenye mechi yao ya Bundesliga Jumanne hii. Vijana wa Peter …
Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola ameanza mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho, lakini Real Madrid na Paris St-Germain pia wanamtolea macho kiungo huyo wa Machester United, 27. (Le10sport – in …
Mshambuliaji kinda wa klabu ya Atletico Madrid, Joao Felix amepata jeraha la goti Akiwa kwenye mazoezi. klabu hiyo imethibitisha kuumia kwake wakati huu Vilabu vya La Liga vinaendelea na maandalizi …
Timo Werner amefunga goli lake la kwanza tangu Bundesliga irejee ikiwa miezi miwili kutoka ligi hiyo iliposimama kwasababu ya Corona wakati RB Leipzig ikiminyana na Mainz. Timo, 24, alifunga hat-trick …
Maisha hayana adabu , maisha yanaweza kukupeleka sehemu ambayo hukuwahi waza kuwepo na yakiamua yameamua . Masikini kipindi mtu anasoma anawaza kua mwanasheria lakini mwisho wa siku anakua mwalimu wa …
Ligi ya Ujerumani inapigwa leo kwa mechi tatu, ikumbukwe kuwa Ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga ndio Ligi pekee ya Barani Ulaya iliyorejea mapema ukiachana na Ligi zingine zilizomalizika kama …
Wakati Bundesliga ikiendelea kupigwa kwenye viwanja tofauti nchi Ujerumani, jana zilipigwa mechi 5. Moja ya mechi kali jana ilikuwa ni Wolfsburg wakiikaribisha Dortmund ambayo ilimalizika kwa Dortmund kushinda 2-0. Goli …
Ni muda wa mechidei ya 27 ya michuano ya Bundesliga. Borussia Dortmund wanatarajia kuwa kepteni wao, Marco Reus atarejea kabla ya kumalizika kwa msimu huu… Meridianbet.co.tz inaangalia nani ambaye atakuwepo …
Zona Mista huu ni utaratibu mwingine wa kisoka uliokuja miaka ya 1970 pale Italy pia miaka hii ndipo Total football ilikua inatawala Uholanzi , Zona Mista ilileta mapinduzi hasa pale …
Kocha mkuu wa FC Barcelona, Quique Setien amesema kuwa anatumaini kuwa siku moja anaweza kumfundisha nyota wa PSG, Neymar. Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona mnamo 2017 kwa rekodi ya …
Baada ya kiwango Bora huko Bundesliga, Achraf Hakimi atarudi Real Madrid mara tu mkopo wake huko Borussia Dortmund utakamilika, wakala wake amethibitisha, huku akikataa madai kuwa Inter Milan imeweka ofa …
Klabu ya Bayern Munich imeamua kuchana na kipengele cha kumnunua Philippe Coutinho, na sasa kipengele hicho kimeisha wakati wake. Countinho alijiunga na Bayern kwa mkopo kwa msimu mmoja akitokea LaLiga, …
Habari zenu? Wikiendi iliyopita mkeka wangu nilioposti hapa ulishinda na ulikuwa ni katika gemu za Bundesliga ikiwa ni mara baada ya kurejea tena uwanjani. Ni matumaini yetu kuwa wikiendi hii …
Jana kulikuwa na gemu kali sana ya Berlin derby iliyofungua mechiwiki ya 27 ya mashindano ya ligi kuu ya nchini Ujerumani, Bundesliga, ambayo ilirejea tangu wiki iliyopita baada ya kwenda …
Bundesliga inaendelea tena leo ambapo Borussia Dortmund wanatarajia kuwa kepteni wao, Marco Reus atarejea kabla ya kumalizika kwa msimu huu… Meridianbet.co.tz inaangalia nani ambaye atakuwepo uwanjani na ambaye atakosekana wikiendi …
Wiki ya pili baada ya kurudi kwa Bundesliga inarejea tena na Derby moja ya kibabe inayopigwa katika mji mkuu wa Ujerumani maarufu kama BERLIN DERBY. Union Berlin ukiwa huu ndio …
Golikipa wa klabu ya Chelsea, Kepa Arrizabalaga yupo katika rada ya timu ya La Liga, Valencia kwa mujibu wa ripoti ya Sport. Kepa Arrizabalaga Alicheza katika klabu ya Athletic Bilbao, alicheza …
Mwisho wa wiki iliyopita michuano ya ligi ya Ujerumani, Bundesliga ilirejea tena uwanjani ikiwa imepita muda wa miezi miwli tangu isimamishwe. Ligi hiyo kubwa ya nchini Ujerumani ni moja ya …

