Paris Saint-Germain wameanza harakati za kumnasa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland kuelekea dirsha kubwa la Uhamisho kulingana na Foot Mercato. Klabu hiyo ya Ufaransa inamtaka mshambuliaji huyo wa kimataifa …
Makala nyingine
Lobert Lewandowski amesema kuwa Tuzo hiyo ya mwanasoka bora sio kitu anachokiangalia lakini “chochote kinaweza kutokea” linapokuja swala la kushinda tuzo. Mshambuliaji huyo wa Bayern Munich hajawahi kuwa kwenye tatu …
Bayer Leverkusen v Schlake 04 Bayer Leverkusen wamelazimishwa sare ya 1-1 na wachovu Schalke 04. Matokeo hayo yanawafanya Leverkusen wafikishe alama 57 huku wakiwa nafasi ya nne katika msimamo wa …
Vilabu vya ligi kuu nchini Uingereza vimekua vikihusishwa na kuinasa saini ya mchezaji Jardon Sancho anaye cheza katika timu ya Borussia Dortmund, mchezeji huyo anaye sakata kabumbu katika nafasi ya …
Weston McKennie anarejea tena uwanjani mara baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake kwa Schalke wakati wakiwakaribisha mahasimu wao, Bayer Leverkusen kwenye gemu ya mwisho ya Mechidei ya 31. Meridianbet.co.tz inaangalia …
KLABU ya Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni 115milioni ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph) Winga wa Crystal Palace na Ivory Coast Wilfried Zaha, …
Dani Olmo alifunga mara mbili kipindi cha kwanza kuifanya RB Leipzig kusogea nafasi ya pili wakiwa na pointi moja mbele Borussia Dortmund baada ya ushindi dhidi ya Hoffenheim. Kiungo wa …
Mchezo wa nusu fainali ya pili ya Coppa Italia kati ya Juventus dhidi ya AC Milan umemalizika kwa sare ya bila kufungana (0-0). Matokeo hayo yamewafanya Juventus wasonge mbele katika …
Wakuu! Tunajua kwamba La Liga imerejea na Barcelona wana faida sana katika mechi yao. Wanakutana na kisiki siku ya leo Jumamosi kabla wenzao wa Madrid hawajaingia katika dimba siku ya …
Usajili wa Timo Werner kwenda Chelsea unaweza kukamilika wiki ijayo, inasemeka umechelewa kwasababu ya namna ya kufanya vipimo vya afya kwasababu ya zuio la kuingia nchi mbalimbali. Straika huyo wa …
Ligi za Mpira wa Miguu zitaruhusiwa kufungua dirisha usajili endapo watakapomaliza Ligi zao kwa sheria mpya za FIFA zilizotangazwa Alhamisi. Shirikisho hilo la mpira Duniani FIFA limefikia uamuzi wakutangaza kanuni …
Erling Haaland, mshambuliaji mwenye miaka 19 anayekipiga ndani ya Klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga nchini Ujerumani anatajwa kuwa kwenye rada za Manchester United na Liverpool ambao wanahitaji saini yake. …
Real Madrid wanaripotiwa kuwa wapo tayari kumuuza James Rodriguez wakiwa na lengo la kupunguza kiasi ambacho wanakitumia kulipa mishahara. Mpango wao ni kupunguza wachezaji ambao wanaonekana kutotukuwa na umuhimu mkubwa …
Chelsea itarajiribu kupeleka ofa nyingine katika klabu ya Bundesliga ili kumsajili kiungo wa Bayern Leverkusen, Kai Havertz. Chelsea kwa sasa wanahusishwa na uhamisho wa mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner …
Hali ya timu ya Werder Bremen katika msimamo wa ligi ya Bundesliga siyo ya kuridhisha kabisa, na kuna uwezekano timu hiyo ikashuka daraja baada ya kufanya hivyo muda mrefu sana …
Bayern Munich anahitaji ushindi kwenye mechi mbili kati ya nne zilizosalia kuwa mabingwa kwa mara ya nane mfululizo baada ya jana kuichapa Bayer Leverkusen. Hansi Flick amepoteza mechi moja kati …
Bundesliga wameonyesha kuungana na maandanao ya watu weusi yenye jina Black Lives Matter baada ya baadhi ya timu kuonyesha ishara ya kuunga mkono maandano hayo. Borussia Dortmund na Hertha Berlin …
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho amesema ilikuwa kama utani kulimwa fani na German football league baada ya kupigwa picha akinyoa nywele nyumbani bila kuvaa maski. Sancho na mchezaji mwenzake …
Mchezaji wa kimataifa wa Wales, Ethan Ampadu anakaribia kurejea kwenye utimamu wa mwili baada ya kukosa mechi za ufunguzi za Bundesliga akiwa na RB Leipzig. Ampadu, 19, yupo kwa mkopo …
Erling Haaland alipumzishwa kwenye gemu ya Borussia Dortmund waliyoshinda 6-1 wakiwateketeza akina Paderborn kwa sababu ya kuwa na majeraha ya goti. Atarejea tena uwanjani wakati wakienda kuumana na Hertha Berlin? …

