Paris Saint-Germain wameanza harakati za kumnasa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland kuelekea dirsha kubwa la Uhamisho kulingana na Foot Mercato.
Klabu hiyo ya Ufaransa inamtaka mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway kuwa wa kwanza kufika hapo Parc des Princes majira ya joto kwani Thomas Tuchel anaonekana kutaka kufanya mabadiliko kadhaa kwenye kikosi chake.

Ikiwa PSG itakamilisha mpango wa kumsajili Haaland, basi wataelekeza upya nguvu zao kwa kiungo wa Rennes, Eduardo Camavinga na kiungo wa Lazio, Sergej Milinkovic-Savic.


Shafii
Lampad tengeneza kikosi
Theckla
Wapambane watampata
Gabriel
Cha msing waweke dau maana kiungo huyo wanamtaka clubs nying
Povel
Halaand jeshiiiiii
Lydia Emmanuel Magoti
Wapambane watampata
isha
Wasikate tamaa ni dhambi
Ester jackson
Waweke dau nono watampata
Elika
Nawaombea sana P.s.g wakubaliwe ombi lao
Magdalena
Habari motomoto kwa PSG hizi zinaleta furaha wachangamkie fursa
Omary lukumbi
PSG kama watampata haland basi watakua na safu ya washambuliaj hatar sana maana huwez kuwazuia ukikutana nao unakua kama unekutana na jinamiz huwez kufurukuta
Tahiya
Ni muda sasa wa klabu kivunja vibubu vyao kwa wachezaji wazuri
Mwanaidi
Haaland yupo vizuri
Asia Abdy
Itakua poa wakimpata
Rehema
Haaland ni fundi
Khadija
Itakuwa vizuli kama watampata#meridianbettz
Adelta
Haaland Ni jeshii
warda
Naona PSG round hii hawataki mchezo#Meridianbettz
Neema hassan
Asante kwa taarifa..
Hope mwaikuka
Wapambane tu
felister
psg naona wameamua msimu huu
Emmy cleopa
Itakuwa vizur wakimpata
Devotha
Wapambane waongeze day watampata
Kenani
Sas huo ni moto hatar
Johnmary joel
Wajipange vizuri na kujituma zaidi#meridianbett
Johnmary joel
Wajipange vizuri na kujituma zaidi#meridianbett ukitaka vizuri lazima utoke jasho
Issa
Psg hawajakosea wakimchukua haaland
Caroline
Habari njema
lombo
saf habar njema
Salma
Wapambane wasikate tamaa
Njiku
PSG ipo katika msuko mpya wa timu hivyo bhas erling haaland anauwezo wa juu sana na tunafahamu kazi yake akiwa Dortmund na alifanya vizuri sana uefa ligi hivyo bhasi PSG itafanya vizuri sana ikipata saini yake
Dorophina
Haaland yupo vzr wasikubali kumuachia
Genia Sikaluzwe
Haaland ni fundi wa mpira
Ernest
Haaland anatisha sana ni mchezaji ambaye atawindwa na club nyingi kupata saini yake.
Hamidu
Wapambane! Huyo dogo anatakiwa na watu wengi#meridianbettz
Sadick
Haaland amekuwa overrated sana wajiandae kuvunja Bank kama ilivyokuwa kwa Mbappe na Neymar#meridianbettz
David Pere
Atawafaa Kama watampataaa
Frank Patrick
PSG wabalance nao kila good player wanamtolea machho
Furahav
Haaland yuko vizuri.
Zeiyana
Kama anataka kua mchezaji mkubwa namshauri aelekee Spain au uingereza
Tatu
Wapambane watampata