Chelsea Njia Nyeupe kwa Havertz

Mtendaji Mkuu wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro amekiri klabu haina pingamizi kama Kai Havertz yupo tayari kupiga hatua nyingine katika maisha yake ya soka, huku kukiwa na taarifa kiungo huyo anakuhusishwa kuwaniwa na Chelsea na Bayern Munich.

Havertz, 21, amejitengeneza kuwa moja ya kiungo bora mdogo katika mpira wa Ulaya baada ya kushinda magoli 11 na kusaidia magoli matano kwenye msimu huu wa Bundesliga.

Chelsea tayari wamefikia makubaliano na Timo Werner mwanzo mwa mwezi huu na Havertz inaonekana huenda akaungana na Mjerumani kuelekea Stamford Bridge, kwani wote Frank Lampard amekuwa akiwania saini zao. Kiungo huyo wa Ujerumani amekuwa na msimu bora akiwa Bayer Leverkusen.

Havertz na Werner

Japo, ripoti zinasema Bayern wapo kinara kwenye mbio hizo za kumwinda Havertz na wanaweza kufikia dau la £75 million kuliko Chelsea.

Alipoulizwa kuhusu tetesi za Havertz Mtendaji Mkuu wa Leverkusen Carro: ‘Vilabu vingi vinamhitaji. Naona mchezaji anataka kupiga hatua nyingine kwenye maisha yake ya soka.

‘Lazima uheshimu hilo na kutambua mkataba wake unamalizika 2022.’

38 Komentara

    Hongereni sana Chelsea kwa kukubaliwa ombi lenu

    Jibu

    Aende tu Bayern Munich Chelsea hakuna dili

    Jibu

    Itakua bora zaid wakimpata Chelsea kwanza bado umri wake mdogo watapata faida kupitia yeye

    Jibu

    Ama kwa hakika hiyo ni hatua yake nyingine kwenye soka ni vyema kama ataenda Chelsea

    Jibu

    Naona mchezaji anataka kupiga hatua nyingine kwenye maisha yake ya soka.

    Jibu

    Mchezaji anatakiwa ajiongeze hapo akili kichwani mwake aende au laa

    Jibu

    Kakika hiyo nihatua nzuri sana kwake

    Jibu

    Fanya huwamuzi ambao hutaona wewe kwako hunamanufaa.

    Jibu

    Wana Chelsea tunakuhitaj

    Jibu

    Hii ni habari njema Asante meridianbet

    Jibu

    Asante meridianbet kwa makala nzuri

    Jibu

    Hii ni habari njema kwetu ninafuraha sana kwa makala nzuri #meridianbettz

    Jibu

    Ka Havertz bado kapo fiti sana #Meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki wa chelsea tunakusbr kwa hamu

    Jibu

    Mchezaj nmemuelewa

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa Chelsea

    Jibu

    Havertz aende chelsea

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    asikilize nini moyo wake unataka

    Jibu

    Hongera zake kabadilishe mazingira#meridianbettz

    Jibu

    Havertz mdogo alafu ana kiwango.hongera zake

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Iyo ni hatua nzuri kwake

    Jibu

    Mtendaji mkuu wa Bayer Leverkusen,Fernando carro amekili kuhusu mchezaji huyo kai havertz mwenye umri wa miaka 21 yupo poa kama atafika Chelsea na kuanza kukiputa pale itakuwa safii kwake maana atajiakikishia namba pale Stamford

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chelsea

    Jibu

    Habari njema Sana kwa mashabiki wa soka

    Jibu

    Mpira wa kileo mwenye kisu kikali ndio anakula nyama! Chelsea hawaulizi bei bali wanataka mchezaji kwa gharama yoyote itakayotajwa na muuzaji#meridianbettz

    Jibu

    Lampard anataka kuisuka Chelsea mpya kabisaaa

    Jibu

    Next msimu watasumbua Sana #meridianbettz

    Jibu

    Watoe pesa Sasa wamchukue kabla wengine hawajaingilia kati

    Jibu

    Hongera sana kwa chelsea

    Jibu

    Maoni:chelsea bado wanamuhitaji

    Jibu

    Chelsea wasijiamin sana kwa kuwa harvert ni kiungo mzur lolote linaweza kutokea club nyingne ikapanda dau

    Jibu

    Havert karibu daraja thnks meridian bet kwa update za michezo

    Jibu

    Nafurahi kuona lampad anatarajia kuandaa kikosi Cha ushindani msimu ujao

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Anaonekana yuko vizuri sana.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.