Weston McKennie anarejea tena uwanjani mara baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake kwa Schalke wakati wakiwakaribisha mahasimu wao, Bayer Leverkusen kwenye gemu ya mwisho ya Mechidei ya 31.
Meridianbet.co.tz inaangalia vikosi na ni nani atakuwepo na ambazo hawatokuwepo kwenye klabu zao mwishoni mwa wiki hii…
Jumapili, tarehe 14 Juni
Mainz vs. Augsburg (inaanza saa 10.30 jioni)
Mainz: Müller – Baku, St. Juste, Niakhate, Brosinski – Kunde, Latza (c) – Awoniyi, Boetius, Quaison – Onisiwo
Nje: Zentner (goti)
Wanaohofiwa: Ji (mgongo)
Kocha: Achim Beierlorzer
Augsburg: Luthe – Framberger, Jedvaj, Uduokhai, Max – Khedira, Baier (c) – Sarenren Bazee, Richter, Vargas – Niederlechner
Nje: Moravek (misuli)
Wanaohofiwa: Cordova (misuli), Giefer (mguu), Hahn (tendon), Iago (misuli)
Kocha: Heiko Herrlich

Schalke vs. Bayer Leverkusen (inaanza saa 1 usiku)
Schalke: Nübel – Kenny, Kabak, Oczipka (c), Miranda – McKennie – Caligiuri, Boujellab, Schöpf – Gregoritsch, Raman
Nje: Burgstaller (goti), Harit (goti), Mascarell (nyonga), Nastasic (misuli), Sane (misuli), Serdar (goti), Todibo (kiufndo cha mguu)
Wanaohofiwa: Matondo (nyonga), Stambouli (hayupo fiti)
Kocha: David Wagner
Leverkusen: Hradecky – Dragovic, S. Bender, Tapsoba – Amiri, Aranguiz, Demirbay, Sinkgraven – Wirtz, Havertz (c), Diaby
Nje: Bellarabi (paja), L. Bender (mguu)
Wanaohofiwa: Palacios (homa)
Kocha: Peter Bosz
Ukishaangalia vikosi hivyo vinavyotarajiwa utajua upangiliaje mikeka yako na utabiri wako kiujumla.


Latifa juma mohamed
Vikosi vimetulia sana
felister
kabisaa mana vikosi sio poa inabidi nitulize akili kwenye kubashiri mkeka wangu
David Pere
Vimekaa vizuri Ila Cha liverkusen kinatisha sanaa
Antony Luseno
Mainz anashinda kama kawaida
Isaya massawe
Vikosi vimekaa vizuri
Caroline
Vikosi vyote vizuri
Khadija
hapo nishindwe mm tuu kutuliza akili yangu kwenyw kubeti vikosi vimekaa poa sana ##meridianbettz
Sadick
Hapo unaweka mkeka kirahisi sana#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Vikosi vimekaa vizuri sana
Elika
Vikosi vyote viko imara nataka nimuone Baku akifanya yake uwanjani
Mwanahamisi
Vikosi vimekaa vizuri
Hamidu
Wazee wakubet fursa ndo hizo. Asante kwa update za michezo
Zeiyana
Vikosi vyote vipo vizuri hapo inatuumiza sis wazee wa mikeka vichwa vinauma
Evaluziga
Vikos vimekaa vizuri
Samiah
Vikosi vyote leo vipo sawa sawa
Devotha
Ni muda wa kuandaa jamvi sasa
Julieth
Safi sana
Dorophina
Vikosi vyote noma mda wa kuandaa jamvi sasa
Furahav
Wako vizuri wote.
Amani
Kuweka majamvi tusubiri mpunga
Leonard
Mambo moto
Theckla
Vikosi vimetulia sana
isha
Vikosi vya maajabu safi sana
Hope mwaikuka
Aisee hv vkos nomaa
Ester jackson
Mambo yanazidi kuwa moto
Neema hassan
Vikosi vizuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vikosi vipo vizuri sana kilicho baki nikuweka majamvi
Rehema
Hapo Ni Mambo ya kubet mzee baba unaweka mkeka unasubiri pesa
Ernest
Jumapili ya kibabe sanaaaa hii
Mwanaidi
Mambo yote leo
Shafii
Thanks kwa taarifa
Christopher
Huyu kai Havertz anakuja juu sana
Povel
Habar za Moto moto
Aziza mushi
Vikosi vyote vipo poa👍
mwakalosi
hii imekaa poa sana
Salma
Vikosi vmekaa vizuri
Mwajuma
Jumapili ya leo nimwendo wa burudani tu
lombo
hasante kwa habar
Emmy cleopa
Ahsante kwa habar #meridianbettz
Theonestina
Vikosi vilikuwa poa sana
warda
Tumewapata Wana #Meridianbettz
Magdalena
Muda wa kupata pesa
julieth boniface
Mambo ni bulbul
Gabriel
Viko poa
Agness
Jumapili ya leo lazima nitusue
Neema juma
Vikosii babu kubwaaa
Adelta
Wapo vizuri
Mariam mtandama
Wapo vizur
Issa
Vikosi