Dries Mertens ameweka rekodi akiwa na Napoli baada ya goli lake kuitoa Inter Milan Bingwa mara tano na kuipeleka timu yake fainali ya Coppa Italia.
Mechi ya kwanza walifanikiwa kupata ushindi wa 1-0, Napoli walianza kwa kuruhusu goli ambapo Christian Eriksen moja kwa moja kutoka mpira wa kona.

Msambuliaji wa Ubeligiji, Mertens akaweka kamba nakufanya kuwa 2-1 kwenye matokeo ya jumla akipokea assisti kutoka kwa Lorenzo Insigne kufuatia sahmbulizi la kushtukiza.
Lilikuwa ni goli lake la 122 akiwa Napoli, moja zaidi ya Mslovakia Marek Hamsik.
Napoli, mara mwisho walitwaa taji hilo 2014, watakutana na Juventus kwenye fainali bila mashabiki Jumatano kwenye dimba la Stadio Olimpico, Roma.


Elika
Safiiii sana napol
Khadija
Napoli wapo vzr##meridianbettz
Hamidu
Napoli babalao#meridianbettz
Evaluziga
Napoli vidume
felister
safi
Devotha
Napoli wapo vizuri sana
Zeiyana
Ukizungumzia mabigwa Napoli nao wapo chama kubwa
Mwanahamisi
Napoli nawakubali sana
Genia Sikaluzwe
Napoli wako vizuri
Dorophina
Napoli wapo vizuri sana
JULIANA
Safi Napoli
Samiah
Safi Juventus ubigwa lazima
Antony Luseno
Fainali hii karata yangu ipo kwa Napoli
Sadick
Karata yangu nampa Juventus kuchukua Coppaitalia. Napoli iataoa upinzani lakini kombe kwa Bibi kizee wa Turin#meridianbettz
Furahav
Napoli iko vizuri.
Leonard
Itakuwa fainali nzur
Theckla
Waendelee kukaza buti
Ester jackson
Itakuwa hatari huku mnyama Napoli huku juventus mambo yatakuwa powa sana
isha
Napoli nyie nilijua tuu maana ni wakali wa mambo hongereni
Hope mwaikuka
Hongera zao
Caroline
Hongera yao
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana boge la game patachimbika Sana Napoli jeshi
Rehema
Napoli nyoko asikwambie mtu Napoli lazima ishinde
Ernest
Fainali ya Coppa Italia itakiwa bonge la mtanange
Mwanaidi
Ni jambo zuri kwao
Neema hassan
Napoli jeshii
Isaya massawe
Inter Jana walicheza Mpira mwingi sana sema awakua na bahati
Shafii
Hongera Sana team work ni nzuri mkiwa mnalengo moja
Povel
Napoli wanakitu kutuonesha kwny escudeto dhid ya Juventus bonge la fainal thnks meridian bet kwa update
mwakalosi
anaenda kukutana na juve ndio unakuwa mwisho wake
Salma
Wakaze tyu
Mwajuma
Napoli mbele ya Juventus hana chake
David Pere
Sasa ni zamu ya Napoli kulichukua cops italy
Emmy cleopa
Napoli wapo vizur sana
lombo
dah huzuni kwel chama langu inter nn ttzo.??
Theonestina
Saafi
warda
Apa ni kumuombea Juve tu#Meridianbettz
Magdalena
Safi Sana wakaze buti wachukue ubingwa
Asia Abdy
Safii
Gabriel
Hongera kwa Napoli # meridianbet
Agness
Napoli Safi sana
Neema juma
Napoli katishaaaa
Mariam mtandama
Safi