Imeripotiwa kuwa klabu ya Newcastle United iliingia katika makubaliano pamoja na klabu ya Barcelona kuhusu dili la winga wao ambaye kwa sasa hawamuhitaji sana, Philippe Coutinho.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa sasa yupo kwa mkopo kwa moja ya klabu za Bundesliga, Bayern Munich, na anategemea kuondoka hapo kwa Barca ambapo wagemi hao wa Premier League wanamvizia kwa udi na uvumba mshambuliaji huyo.
Ripoti za hivi karibuni zimeweka wazi kwamba Washika Mitutu wa London walikuwa wakimsaka sana mchezaji huyo na kuvizia saini yake kwao. Wao waliweka mezani dau la £300m kuwazidi wenzao wa Newcastle ambapo ikaonekana kama The Magpies wasingeweza kujitoa kwa hilo kutokana na kuyumba kiuchumi mara baada ya uwepo wa ugonjwa wa Corona.
Chanzo cha habari cha Mundo Deportivo wanadai kuwa upande huo wa Steve Bruce ambao wamewasiliana na Barcelona kuhusiana na uwezekano wa kutimia kwa dili lao la Coutinho, ambao watakumbana na sakata la kukatwa mishahara kutokana na kuyumba kiuchumi kwa klabu za huko Ulaya na kwingine kote duniani.
Mchezaji Coutinho amejipatia magoli nane na assists sita kwenye ligi aliyopo sasa, Bundesliga msimu huu lakini mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya soka ya Liverpool anaripotiwa kuwa hatocheza kwa ajili ya klabu ya Bayern kwa mara nyingine kutokana na jeraha la kifundo cha mguu.
Watabe hao wa Bundesliga walikuwa na chaguo la kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil kwa mkataba wa kudumu lakini waliamua kuachana na ishu hiyo.


felister
Coutihno amejipatia magoli nane na assists sita kwenye ligi
David Pere
Kama watatumia pesa nzuri watampata tuu
Antony Luseno
Kosa kubwa alilifanya kuondoka Liverpool,kwa jina alilonalo leo hii akacheze Newcastle?!
Caroline
Wakaze buti watampata
Khadija
Livepool kwa jina alilo nalo leo hii akacheze Newcastle#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Wapambane tu watampata wasijali
Elika
Hayo sasa ni maamuzi yake binafsi yeye mwenyewe atachagua anaenda wapi
Sadick
Coutihno kutoka kucheza Club kubwa duniani hadi kutakiwa na Newcastle kweli maisha hayajawahi kuwa sawa!#meridianbettz
Hamidu
Coutinho nenda Newcastle ukatafute changamoto nyingine, bado uwezo unao.
Evaluziga
Wamshawishi watampata tu
Devotha
Pesa ndo kila kitu akiridhika na kiwango cha pesa watakachompa ataenda tu
Zeiyana
Huwezi jua mwenyew kipi hanacho waza uwezi mtu utoke kwenye clabu kubwa uwende clabu ndogo sisi mashabiki tuangalie matokeo tu
Dorophina
Wakaze buti watanpata tu dau liongezeke tu
JULIANA
Ngoma ngumu,ila akuna mkate mgumu mbele ya chai
Johnmary joel
Wajipange vizuri vigezo na masharit kuzingatiwa #meridianbettz
Amani
pesa nzuri watampata wasiwe wabairi# meridianbettz
Furahav
Wamchukue jeshi huyo.
Theckla
Coutihno ni mchezaji mzuri sana
isha
Coutihno namuelewa sana
Hope mwaikuka
Wapambane tu
Neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Sylvester
Coutinyo yupo poa sana ingawa hana nafasi Barcelona ila Newcastle wajitahidi wamchukue#meridianbettz
Rehema
Asante sn meridianbet kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Wakaze wamchukue Dogo huyo
Ernest
Coutinho naona ana gundu sana
Ester jackson
Itakuwa vizuri akienda huko mana kunawezake mpaka hasaivi bado hawajapata pakwenda
Shafii
Nawaombea wampate kuwe na ushindani hasa kwa timu ndogo
Mwanaidi
Ni vyema akaenda huko
Christopher
Coutinho atafute tuu timu kubwa huko akienda ndo Mpira wake utaishia hapo
Povel
Habar njema
Aziza mushi
Wapambane tu
mwakalosi
sema kwa vile hana timu aende tu
Salma
Wapambane wampate jeshi ilo
Mwajuma
Wapambane tu hakuna kinachoshindika Mbele yapesa
Samiah
Wazidi kupambana watampatu
lombo
asante meridianbet kwa update
Emmy cleopa
Habar njema
Theonestina
Apo mchezo pesa tu.waweke pesa ya kutosha mezani wamchukue
warda
Coutinho kwa assists yupo vizur sana Aende tu huko new C,#Meridianbettz
Magdalena
Maisha kuna kupanda na kushuka ata kama katoka timu yenye jina kubwa afanye tu kazi kikubwa mkono uingie kinywani
Asia Abdy
Coutinho fundiii
Gabriel
Pesa ndo itaongea
Agness
Makala zuri