
Lobert Lewandowski amesema kuwa Tuzo hiyo ya mwanasoka bora sio kitu anachokiangalia lakini “chochote kinaweza kutokea” linapokuja swala la kushinda tuzo.
Mshambuliaji huyo wa Bayern Munich hajawahi kuwa kwenye tatu bora ya washindi wa tuzo ya Ballon d’Or kwa kipindi kirefu, kumbukumbu yake nzuri ni pale alipo maliza nafasi ya nne kwenye msimamo wa wafungaji bora mwaka 2015.
Lewandowski mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye mbio za kushinda kiatu cha mfungaji bora, akiwa tayari ameweka kambani goli 30 na kutoa pasi za magoli 3 mbele ya Timo Werner wa RB Leipzig mwenye goli 25, Lewandowski amefunga magoli 45 katika mashindano yote.

Timu ya Bayern Munich wapo kileleni mwa ligi ya Bundesliga kwa tofauti ya alama saba mbele ya Borussia Dortmund lakini pia wananafasi ya kushinda kombe la mabingwa ulaya na DFB-pokal
Lewandowski aliiambia France Football “nilikuepo kwenye sherehe za ugawaji tuzo mwezi Disemba, tutaona najaribu kuonesha kile nilicho nacho kadri ya uwezo wangu ili nifunge magoli na kushinda mataji, hicho ndio kitu muhimu zaidi kwa upande wangu aliongeza kwa kusema hivyo.
Lewandowski yupo makini sana kwenye swala la mlo kwaajili ya kujiweka imara kiakili na kiafya alisema “sili nyama siku ya mechi sababu ni chakula kizito, nakula kitu chepesi”mlo unategemea ni wakati upi .
“Kama ukila ubwabwa unafaida nyingi kwa maana ya kukupa nguvu lakini ukizidisha huongezi kitu”
“Sio rahisi kufunga magoli hasa pale unapo kuwa umechoka, asilimia tisini ya magoli ni kazi ya kichwa hii nikutokana na ulivyo uzingatia mchezo.
“Kama umechoka, uwezo wa kufikri pia hupungua . katiaka eneo la penati una sekunde 0.1 au 0.2 kwaajili ya kufanya maamuzi na kuupiga mpira.


Leonard
Hana jipya
Furahav
Pambana utashinda tu.
warda
Maskini kesha katia tamaa Ballon d’Or Ila namwaminia Lewando, kiatu cha Dhahabu anachukua#Meridianbettz
David Pere
Kama atakaza mpaka wanachukua kombe la UEFA Basi anaweza kuipata Kama hakutakuwa na upendeleo
Magdalena
Akaze Buti atafika
Mwanaidi
Aendelee kijitahidi tuu
Frank Patrick
Achange League tuone makali yake zaidi
Dorophina
Ajitahidi lazima atapata tu yupo vizuri sana
Genia Sikaluzwe
Aongeze juhudi atashinda
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Evaluziga
Hana jipya
lombo
gud newz asante
Zeiyana
Lewandowsk yupo makini sana kujiamini ndio inavyotakiwa mpira unageuka bhana tutaona matokea
Emmy cleopa
Akipambana utashinda
Gabriel
Yuko sahihi unaweza kupewa tuzo ya Ballon d’or lakn ikawa nyota tu na timu uliyonayo imekubeba na unaweza kukosa lakin ukawa bonge la mchezaji maana kwa ujeruman lewandowski n bonge la mchezaji na tunaona mambo anayoyaonyesha bundasliga
Antony Luseno
Kila jambo nia na juhudi zikiwepo inawezekana
Johnmary joel
Nimchezaji mzuri #meridianbettz
Caroline
Lewandowski akili kubwa
isha
Usikate tamaa pambana
Hamidu
Lewandosk anajua Sana! Mshambuaji namba moja kwa sasa.#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Hapambane atashinda
felister
akaze buti atafika anapopataka
Adelta
Asikate tamaa azidi kupambana
Povel
Hapambane asikate tamaaa mapemA thnks meridian bet kwa update za michezo
Ester jackson
Sio rahisi kufunga magoli hasa pale unapo kuwa umechoka, asilimia tisini ya magoli ni kazi ya kichwa hii nikutokana na ulivyo uzingatia mchezo.
Khadija
Hapambane atashinda#meridiaanbettz
Rehema
Akaze buti tuu
Hope mwaikuka
But why
Theckla
Ashapoteza
Shafii
Makala nzuri
Elika
Akaze buti
Samiah
Kaza buti jembe
Asia Abdy
Apambanee
Neema hassan
Fundiii
Devotha
Kuongeza juhudi ataweza
Salma
Pambana utashinda
Ernest
Lewandowski ni miongoni mwa wachezaji wakubwa ulimwenguni hasa kwa rekodi ambazo anazidi kujitengenezea, Salute kwake.
Sadick
Ana nafasi ya kushinda lakini naamini Lewandowski atashinda Golden Boot Bundesliga#meridianbettz
Fatina mfingi
Jitahid
Tatu
Akaze buti atafika