Erling Haaland alipumzishwa kwenye gemu ya Borussia Dortmund waliyoshinda 6-1 wakiwateketeza akina Paderborn kwa sababu ya kuwa na majeraha ya goti. Atarejea tena uwanjani wakati wakienda kuumana na Hertha Berlin?
Meridianbet.co.tz inaangalia wachezaji ambao wanaweza kuwemo ama kutokuwemo kwenye vikosi mwishoni mwa wiki hii…
Ijumaa, 5 Juni
Freiburg vs. Borussia Mönchengladbach (mechi inaanza saa: 3.30 usiku)
Freiburg: Schwolow – Schmid, Lienhart, Heintz, Günter (c) – Grifo, Koch, Höfler, Höler – Petersen, Waldschmidt
Nje: Gulde (misuli)
Wanaohofiwa: Haberer (kifundo cha mguu), Ravet (misuli)
Kocha: Christian Streich
Gladbach: Sommer – Lainer, Ginter, Elvedi, Bensebaini – Kramer, Neuhaus – Hofmann, Stindl (c), Thuram – Plea
Nje: Embolo (ugoko), Johnson (misuli), Strobl (hamstring), Zakaria (goti)
Wanaohofiwa: –
Kocha: Marco Rose
Usikose kufuatilia mechi hii.


Amani
Erling Haaland sipati picha atakavyo wasumbua watu ligi inakuwa nzuri
Zeiyana
Si ya kukosa mechi kari kama hizi
Shafii
Haaland fundi sanaa
mwakalosi
hii mechi nyepesi sana Borussia anachukua tatu muhimu
lombo
mambo mazur
Gabriel
Kwa uapnde wa glabach n mtihan mkubwa sana ukiangali embolo ,Johnson,zakaria bado kuna majuruhi wengi hvyo wanamtihan mkubwa sana
David Pere
Vinatisha Sana na vya ushindiii tupu
Genia Sikaluzwe
Fundii wa mpira
Theonestina
Duuuh ngoja niandae jamvi mie
Ernest
Patachimbika
Caroline
Asante meridian Kwa taarifa
Dorophina
Borussia lazima ampige mtu
mathayo sonje
kwa staili hii, bundasliga itaendelea kukimbiza
Kenani
Vikosi vikali
Antony Luseno
Game hii ngumu inaweza ikaenda sare
Neema juma
Sitaki kuhadithiwa lazima nikatizame mechi zikichezekaa
Hope mwaikuka
Leo ni leo
Rehema
Hii gemu si mchezo
Agness
Asante meridian kwa taarifa
Tahiya
Game zote ni kali Duuh
Emmy cleopa
Habar njema
Salma
Ziko vizuri sana
Rehema Dickson
sipati picha atakavyo wasumbua watu ligi inakuwa nzuri
Theckla
Habari njema
Ester jackson
Asante kwa taarifa pia majeruhi wote mungu awape wepesi warudi uwanjani
felister
hii game si ya kitoto
Elika
Nakosaje mechi hizi kwa mfano
Warda
Tumewapata sana Meridian
winfrida
vikosi vya leo ni balaa shangwe kwetu mashabiki
Adelta
Mambo mazuri
isha
Erling yuko vizuri
Mwajuma
Vipo vizuri na kinatisha sanaa
Asha mvugalo
Gud news kwa update za michezo na burudani
Ernest
Patachimbika
Povel
Bonge la mechiiii don’t miss
Magdalena
Ilikuwa mechi poa sana
Asia Abdy
Good news
Samiah
Mechi ilikuwa poa sanaaa