Karantini Lazima Serie A.

Selikali ya Italia imesisitiza kuwa hakutakuwa na mabadiliko katika utaratibu wa timu kuwekwa Karantini kwa siku 14 ikiwa timu yeyote itapatikana kuwa na mgonjwa yeyote, hata kama atakuwa mgonjwa mmoja.

Kwa mujibu wa chapishop la Corriere dello Sport, maamuzi yaliyoweka na mamlaka ya CTS kuhusu karantini yataendelea kutekelezwa kama ilivyoamuliwa awali.

Kulikuwa kunasubiriwa kama kungekuwa na mabadiliko yeyote katika utaratibu huu baada ya kuwepo kwa kikao kati ya Raisi wa FIGC Gabriele Gravina na Waziri wa Afya Roberto Speranza.

Karantini Lazima Serie A

Kwa maana hii, sertikali imeamua kuungana na uaamuzi wa Kamati ya Kitaalamu na KIsayansi. Hivyo, kama timu yeyote itapatikana na mgonjwa wa virusi vya Corona, basi timu hiyo kwa pamoja italazimika kusalia Karantini kwa siku 14.

Mechi za Serie A zimepangwa kuendelea kuanzia Juni 20, wakati Copa Italia katika hatua za nusu fainali Juni 12 na 13.

Hofu ni kuwa kwa namna ratima zitakuwa ngumu, ikitokea klabu ikapatikana kuwa na mgonjwa yeyote basi kutakuwa na sintofahamu katika ligi kwa kuwa kutalazimika mabadiliko ya mara kwa mara ili kuendana na hali halisi.

50 Komentara

    Ni jambo zuri kwa usalama zaidi

    Jibu

    Nijambo jema afya ni bora

    Jibu

    ni Jambo jema kwa usalama wao

    Jibu

    Daaah..! Mungu hatuepushie na ili gonjwa

    Jibu

    Maamuzi mazuri ya serikali afya muhimu Kwanza

    Jibu

    Jambo zuri, lkn mung aendelee kutulinda.

    Jibu

    no swala zuri kwa usalama zaidi

    Jibu

    ni wazo zuri ktk harakati za kupambana na mdudu corona

    Jibu

    Nijambo zuri kwa usalama zaidi

    Jibu

    Hii corona noma sana.

    Jibu

    Kujua afya n Jambo zur sana hasa ukiangalia wakat huu wa gonjwa la corona lazma lizingatiwe hilo

    Jibu

    Wangemaliza tu ligi yao Kama ufaransa maana majanga yanashindwa kuwaisha

    Jibu

    Corona ni ugonjwa hatar sana.kinga ni Bora kuliko tiba.wakae tu karantini

    Jibu

    Ni Jambo jema kwa usalama zaidi

    Jibu

    hii inaonesha kama baadhi ya viongozi hawapo tayari kurejea kwa ligi hii, maana kama kapatikana mgonjwa mmoja alafu unaifungia timu nzima, haijakaa sawa! #meridianbet

    Jibu

    Sawa Kwa ajili ya afya zao

    Jibu

    Nijambo jema kujua afya

    Jibu

    Ni vizuri kwaajili ya afya zao

    Jibu

    Kwa usalama zaid

    Jibu

    Ni Jambo jema kuhusu afya

    Jibu

    Kutoka na hari ya sasa ni wazo nzuri

    Jibu

    Ni swala zuri sn kwa usalaam wake

    Jibu

    Ni sawa tu walivyoshauri ni kwa ajili ya afya ya wote

    Jibu

    Ni swala zuri sn kwa usalaam wake

    Jibu

    Ni vizuri kwaajili ya usalama

    Jibu

    Huu ni msimamo mzuri kwa serekali

    Jibu

    Usalama kwanza mengne yatafuata

    Jibu

    Nihabari njema kwa afya zaidi

    Jibu

    Ni jambo njema kwa kujari afya

    Jibu

    Sheria iliyowekwa na serikari na afya itawafanya wanamichezo na ziongozi wa michezo kutorudi mana wanahofu kama mmoja akipatika wote watahusika kutegwa sizani kama wote watakuwa tayari kujiunga na vikosi vyao

    Jibu

    Ni vizur kujua afya zao

    Jibu

    huu wa gonjwa la corona lazma lizingatiwe hiloe ili kila mtu awe salama na kumlinda mwenzie

    Jibu

    Kwa usalama wa wachezaji ni lazima kufata masharti

    Jibu

    Watakuwa wamefanya vizuri..ni jambo la kheri na lakiusalama zaidi

    Jibu

    Imekaa poa sana hiyo #Meridianbettz

    Jibu

    Ni jamabo la kheri kwa usalama wao wa afya

    Jibu

    Ungonjwa hatari sana #meridianbettz

    Jibu

    Mambo zuri kwa usalama wa wachezaji

    Jibu

    Ni Jambo zuri la kuweka usalama zaidi

    Jibu

    Karantini tena kweli ligi watacheza tena maana tunasubilia burudani sisis

    Jibu

    Afya ni Bora

    Jibu

    Wako sahihi maana afya ni bora

    Jibu

    Tahadhali muhimu

    Jibu

    Afya ni Bora sana

    Jibu

    Ni Jambo jema kujua afya

    Jibu

    Agizo lazima lizingatiwe ili kuoka maisha yetu

    Jibu

    Kinga nibora kuliki tiba

    Jibu

    Tahathali muhimu

    Jibu

    Mungu atusaidie

    Jibu

    Maoni:Tahadhali inaitajika kweli

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.