Mkeka wa Wikiendi

Wakuu! Tunajua kwamba La Liga imerejea na Barcelona wana faida sana katika mechi yao. Wanakutana na kisiki siku ya leo Jumamosi kabla wenzao wa Madrid hawajaingia katika dimba siku ya Jumapili.

Mechi zote hizo unaweza kuzibetia hapa.

Fortuna Dusseldorf v Borussia Dortmund – Bundesliga

Dortmund amefunga mabao mara sita katika gemu zake za ugenini na ninaona kabisa wataendelea kuwa wababe tena safari hii. Nao Dusseldorf wanakalia nafasi ya 16 na wameshinda mechi mbili pekee katika mechi za ligi mwaka 2020. Ukiachana na hilo, vijana wa Lucien Favre wapo katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi.

Wameshinda mechi zao kumi kati ya 12 za ligi mwaka huu na wameruhusu mabao mawili tu tagu msimu huu uanze tena baada ya kuahirishwa. Ukiangalia kwamba walimtandika mwenyeji wao bao 5-0 mwezi Desemba, naona kabisa mkeka wa Dortmund kushinda upo waziwazi.

Bayern Munich v B M’Gladbach – Bundesliga

Bayern wanaweza kushinda ligi hapa endapo Dortmund watapoteza mapema kabisa siku hii. Hao The Bavarians wameshinda gemu zao 16 kati ya gemu 17 za mashindano yote waliyoshiriki mwaka 2020; 11 ya mechi hizo walizoshinda zilikuwa ni kwa mfumo wa ubashiri wa handicap.

Pia, wamefunga jumla ya mabao matano katika kila gemu waliyokuwa wakicheza nyumbani kwenye michuano ya Bundesliga tangu msimu uanze tena. Nao Monchengladbach wanataka kupata nafasi kwenye ile nne bora ya ligi yao.

Wameshinda mechi mbili pekee kati ya mechi zao tano zilizopita, na kwa kuwa waliwapiga Bayern katika mechi tatu kati ya mechi zao tano walizokutana ninaona kabisa kwamba hawa wenyeji watakuwa wamejipanga sana na watashinda kwa bao kibao.

Mallorca v Barcelona – La Liga

Barcelona wamerudi tena! Wanaoongoza ligi ya La Liga wanaweza kuongeza alama zao wakiwazidi zaidi klabu ya soka ya Real Madrid endapo watashinda mbele ya klabu ya Mallorca, ambao wanakalia nafasi ya 18 ya msimamo wa ligi.

Hata hivyo, wameshinda mechi moja pekee kati ya mechi tano za ugenini katika mashindano yote na pia hawajakuwa na clean sheet katika gemu yao yoyote ile kati ya gemu zao kumi mpaka sasa.

Klabu ya soka ya Mallorca imeshawatandika akina Real Madrid pamoja na Valencia wakiwa nyumbani kwao msimu huu, hivyo hawa Barcelona wanatakiwa kuwa makini sana hapa. Ninabashiri kwamba kuna Away Win, lakini ninaona kuwa huyu Barcelona anaweza kuruhusu goli.

Mikeka zaidi itakujia siku zijazo

48 Komentara

    Mechi nzuri

    Jibu

    Big mechi bayermunich vs BM’ gladbach
    Naona GG3+ Kama zote sio mechi ya kukosa kuangalia.#meridianbettz

    Jibu

    Siwezi kukosa hapa

    Jibu

    Ni muda sasa wa kuandaa mikeka

    Jibu

    Mechi ziko poa sanaaaa..ushindi nje nje

    Jibu

    mechi zote kalii

    Jibu

    Bayern kushinda ni lazima maana anafukuzia ubingwa bundesliga

    Jibu

    Ni muda wa kubeti sasa

    Jibu

    Nimuda wakubet Sasa na odds kamazote kilicho baki ni kuweka pesa tuu hapo

    Jibu

    uchambuzi makini

    Jibu

    Ni muda wa kuanda mkeka

    Jibu

    mambo mazur ngoja nchangamkie fulsa chap

    Jibu

    Leo naweka magoli tu#Meridianbettz

    Jibu

    Asante sn meridianbet Leo ndio Leo niliandae bonge la mkeka wa kibabe

    Jibu

    Ngoja niandae Jamvi langu mapema

    Jibu

    Bayern lazima washinde#meridianbetz

    Jibu

    Kwa mechi izi lazima nipige pesa

    Jibu

    Mechi zote kalii

    Jibu

    Mechi ya kibabe sana hii

    Jibu

    Mechi zaleo siwezi kuzikosa

    Jibu

    Mechi zote kali nishindwe mm##meridianbettz

    Jibu

    Mechi zote mzur

    Jibu

    Mechi zote za kibabe

    Jibu

    Mechi zote kali siyo za kukosa kabisaa

    Jibu

    Mechi ziko bomba sana

    Jibu

    Mechi ziko POA sana

    Jibu

    Uchambuzi mwanana. Ubashiri wangu mechi tajwa zitakuwa na magoli 3 na kuendelea#meridianbettz

    Jibu

    Nikikosa mech za leo naenda kuoga nungwi itakua sio bure kwakwel maana mechi zote kuntu za ushindi kabisa

    Jibu

    Muda wa kupiga pesa

    Jibu

    Huu muda wa hela.

    Jibu

    Bonge la mechii

    Jibu

    Ninasubiria tu matokeo ya Barcelona mana nimeweka hela kama zote

    Jibu

    DortmundGG3+ Kama zote sio mechi ya kukosa kuangalia.#meridianbettz

    Jibu

    Mechi nzur sana n muda wa kutuliza akili ili kuvuta mkwanja

    Jibu

    Mechi kalii

    Jibu

    Jamvi langu naweka game zote Kati thnks meridian bet kwa information

    Jibu

    Weekend hii itaenda kwa 2+

    Jibu

    Leo lazima nichukue pesa apo

    Jibu

    Kandanda lishaanza wapenzi wa mikeka kazi kwetu mechi kama zote

    Jibu

    Kama naona GG kama zote

    Jibu

    Mambo ya soka Sasa ligi zote yanaanza kunoga sisi wapenda soka Yani Ni burudani tuuuuu#meridianbettz

    Jibu

    Weekend hii game zimekuwa nying sana, which is great for us!!!

    Jibu

    Mi hapa Nampa Barcelona atanipa pesa leoo

    Jibu

    Mech zinashawishi

    Jibu

    Mechi ya bayarn na moglabach ni nomaa hapo GG na 3+

    Jibu

    Mechi zimetulia nachangamkia fursa hii kujipatia pesa

    Jibu

    Mechi zote kali

    Jibu

    Huu muda tunaisubiri sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.