Bara la Afrika limekuwa na wafungaji mabao mahiri sana tangu enzi na enzi katika ligi mbalimbali duniani kote. Hata hivyo, kuna waliotisha zaidi ya wengine wote. Angalia hapa chini kuwafahamu:
Inaendelea…
Nwankwo Kanu
Ingawa mwanasoka maarufu Kanu hajatajwa sana katika ufungaji magoli kama wale wanne wa kwanza lakini anamiliki kipaji cha aina yake. Alizitumikia klabu za soka za Ajax pamoja na ile ya Arsenal akasaidia kuleta mataji ya Champions League pamoja na matatu ya Eredivisie bila kusahau mengine mawili ya Premier League.
Zaidi ya hayo, mtindo wake wa kulisakata kabumbu pamoja na uchezaji maridhawa kabisa ulimfanya awe bora sana katika miaka yake yote ya kucheza soka la kulipwa.
Ile hatitriki yake iliyompa umaarufu aliyoipata katika dakika 15 kwa ajili ya klabu ya soka ya Arsenal walipocheza dhidi ya klabu ya Chelsea na ikamfanya awike sana kama mchezaji kandanda.
Baadaye akaelekea kwa klabu ya soka ya Portsmouth, akafunga bao la ushindi katika gemu ya nusu fainali ya kuwania kombe la FA wakati klabu iliposhinda taji kwa mara ya pili katika historia yao ya miaka 125.
Aliwawakilisha akina The Super Eagles mara tatu kwenye World Cup lakini inasikitisha sana kwamba hajawahi kabisa kushinda taji la AFCON.
Tuzo za Honourable Mentions: Abedi ‘Pele’ Ayew, Yakubu Ayiegbeni, Mohamed Aboutrika, Emmanuel Adebayor, Asamoah Gyan, Benni McCarthy, Patrick M’Boma, Tony Yeboah, Rashidi Yekini, Frederic Kanoute, Pierre-Emerick Aubameyang.


Hamidu
Asante kwa update nzuri za michezo
Nakala hii ilikiwa nzuri Sana#meridianbettz
Tahiya
Ni makala nzur ya kihistoria kwa wachezaji wa Africa
Salma
Historia nzuri
Antony Luseno
Kanu mchezaji mahiri kutoka Nigeria aliyeheshimika Arsenal
Leonard
Kanu mchezaji wenye kipaji sana
felister
kanu alisaidia kuleta mataji ya champion league
Devotha
Asante kwa taarifa
mwakalosi
tulishakubalianab kuwa drogba na etoo ndio washambuliaji bora afrika mpaka sasa
Genia Sikaluzwe
Ahsant sana meridianbet kwa taarifa
warda
Kanu alikuwa anatisha sana#Meridianbettz
lombo
afrika tulikuwa vizur apo mwanzo cjui kuna nn sas hiv
Lydia Emmanuel Magoti
Kanu nimchezaji mahili kutoa Nigeria alieishimika kutoka Arsenal
Rehema
Kuna wachezaji wenye vipaji sana
Johnmary joel
Habari nzuri hizo tunajivunia#meridianbetz
Caroline
Africa tuna vipaji vya ukweli
Dorophina
Africa vipaji vipo vingi tu
Emmy cleopa
Tunajivua Africa kwa vipaji
Samiah
Africa tumejaaliwa vipaji
Khadija
Kanu mchezaji mzr sana##meridianbettz
Theckla
Africa vipaji vipo bc tu
Aziza mushi
Africa Kuna wachezaji wazuri sana
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
isha
Afrika oyeeeeeee tupo vizuri
Adelta
Kwetu African vipaji Kama vyote
Sadick
Kanu alipata mafaniko akiwa Arsenal lakini kwangu bado simuoni kama kinara wa wote#meridianbettz
Rehema Dickson
Africa mungu katujaaria sana kuna vipaji vingi sana tunakushukuru mungu kwa vipaji ulivyo tupa waafrica
Neema hassan
Asante kwa habari#meridianbettz
Furahav
Waafrika wanajua sana.
Amani
Mbona sammata awaja muweka apo# meridianbettz
Gabriel
Kanu alikuwa bonge la streka kipindi hicho na mtu huyu angekuwa ndo kipindi hich angekuwa na mafanikio makubwa sana
Ester jackson
Asante kwa habari
Hope mwaikuka
Aisee axante kwa kutujuza
Povel
Asante meridian bet kwa information
Ernest
Africa is where football lives!!!!
Theonestina
Asante meridianbet kwa taarifa
Mwajuma
Kumbe na sisi Africa tunaweza kidogo
Zeiyana
Nikikumbuka ezi zile za etoo mtaani kila kijana hanajiita yeye etoo..!ilikua raha sana
Frank Patrick
Pateick Mboma mzee wa mawe
David Pere
Kanu kwa wakati wake alitisha sanaa
Mwanaidi
Meridian mpo vizuri sanaa kwa taarifa za kimichezo
Shafii
Kanu amefanya makubwa sana huyu jamaa Africa kulikua na watu wa kazi kipindi hicho
Magdalena
Makala umetulia Sana hii naisubiria mwendelezo
Agness
Ni historia nzuri