Makala nyingine

Borussia Dortimund imeona hakuna uhitaji wa kufanya usajili kwaajili ya kupata mbadala wa Erling Haaland ambaye amekuwa na kiwango bora kabisa tangu atue klabuni hapo. Mshambuliaji huyo wa kimataifa kutoka …

Tetesi za Usajili

Juventus wapo katika mipango ya kutaka kumchukua aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ili kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri ndani ya klabu hiyo inayotumikiwa na mchezaji nyota Ronaldo . Taarifa …

Frank Lampard amepuuza kuendelea na mchakato wa kunasa saini za wachezaji wakati wa dirisha la usajili ikiwa klabu hiyo ya Chelsea ilikuwa karibu kumsajili Kai Havertz. The Blues wakiwa wamekamilisha …

Kiungo wa Kimataifa wa Uhispania, Thiago Alcantara yupo mbioni kujiunga na mabingwa wa Premier League, Liverpool baada ya kocha mkuu wa klabu hiyo, Jurgen Klopp kusisitiza kusajiliwa kwa mchezaji huyo …

Bellingham wa Dortmund

Kiungo wa Klabu ya Birmingham City, Jude Bellingham amesafiri kwenda nchini Ujerumani kukamilisha uhamisho wake wa rekodi kujiunga na Borussia Dortmund. Anaamini kupata mafanikio kama ambavyo kapata Muingereza mwingine klabuni …

Borussia Dortmund huenda wakampoteza staa wao Jadon Sancho sokoni ambaye amehusishwa na klabu kadhaa. Man United wamekuwa wakihusishwa naye zaidi. Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Dortmund  Michael Zorc amesema …

Kai Havertz anatamani kujiunga na Chelsea majira ya kiangazi na haitaji kuendelea kutumikia Bayer Leverkusen kwa msimu mwingine. Havertz ni moja ya viungo bora Ulaya kwasasa na kuvivutia vilabu kama …

Liverpool ni kati ya vilabu kadhaa vya Uingereza ambavyo vitakuwa na skauti ambao watahudhuria fainali ya kombe la Ujerumani, inaripotiwa kwamba Leon Bailey atakuwa mmoja wa wachezaji kwenye rada yao. …

1 2 3 22 23 24 25 26 27 28 33 34 35
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.