Dortmund Sokoni Kumsaka Mrithi wa Sancho

Borussia Dortmund huenda wakampoteza staa wao Jadon Sancho sokoni ambaye amehusishwa na klabu kadhaa. Man United wamekuwa wakihusishwa naye zaidi.

Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Dortmund  Michael Zorc amesema kuwa klabu inaendelea kuangalia washambuliaji ambao wanaweza kuwa mbadala wa nafasi ya Sancho ikiwa staa huyu ataondoka klabuni hapo.

Dortmund watatarajia kukusanya kitita cha  €120m kama watalazimika kumuuza staa huyu. Staa huyu alifika klabuni hapo mwaka 2017 akitokea Manchester City.

Jadon Sancho Dortmund
Jadon Sancho

Baada ya kuulizwa kuhusu uwezekano wa Jadon Sancho kuondoka klabuni hapo, Zorc alisema wana kuna mpango juu ya hilo. Mpango uliopo ni kuhakikisha klabu inapata mbadala na hadi sasa tayari inawafuatilia kwa ukaribu washambuliaji wawili kwa sababu hiyo.

“Kama Jadon akiondoka, tutafanya kitu tena kwenye eneo la ushambuliaji. Kuna kama mchezaji mmoja au wawili tunawalenga.”

Sancho ametoa mchango mkubwa sana kwa timu yake akiwa amefunga magoli 17 na kutoa usaidizi wa magoli 16 huku Dortmund wakifanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Bundesliga.

Mshambuliaji huyu mwenye miaka 20 kwa jumla amefunga magoli 20 msimu huu kwa michuano yote. Dortmund wanatajwa kuwa wanampango wa kumsajili Jude Bellingham kutoka  Birmingham City.

Zorc amesisitiza kuwa klabu inatarajia kutumia gharama ndogo kadri iwezekanavyo. Na kama itawalazimu kumuuza Sancho pia malengo yao kwa si kutumia zaidi ya Euro milioni 5-10 kwa mchezaji.


 

Furahia radha halisi ya Kasino ya Mtandaoni

Bonyeza Hapa Kucheza

45 Komentara

    Vizur

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ni kwl wajiandae mapemA kwn SANCHO Jordan anawindwa na Timu nyng SOKO ni vema kutafut mbadala wake mapemA kabla mambo hajafika shingon

    Jibu

    Sancho jmn.anatafutiwa mrithi

    Jibu

    Nice#Meridianbettz

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habar si njema kwa Dortmund

    Jibu

    Good update

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki wa dortmund

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki wa Dortmund..

    Jibu

    duh sancho anatafutiwa mrithi tena#meridianbett

    Jibu

    Inaonekana hali yake sio nzuri kwa sasa asiweze kurejea uwanjani kipindi hiki mpaka wamtafutie mrithi

    Jibu

    Sokoni kwa sasa hakuko shwari maana kila mcheza bora anahitajika na vilabu vikubwa so kushinda hili inapaswa kujipanga Sana kifedha.

    Jibu

    Sancho namkubali Sana karibu man u

    Jibu

    Sancho welcome man utd#meridianbettz

    Jibu

    Sancho karibu sana man u

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mwenye uwezo wa juu ambao kila timu inataka impata ma ukizingatia kipindi hichi uchumi umeshuka hivyo kama timu itamuhitaji inabidi iwe na pesa nyingi kuweza kumnunua .

    Jibu

    Niabari njema kwamashabiki wa Dortmund

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Vizuri kama sancho akibaki

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Jadon Sancho hawezi kuendelea kusalia ndani ya club ya Dortmund, Ni wakati wake sasa kulamba deal nono

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Sancho namkubali Sana karibu man u

    Jibu

    kwa sasa uchumi wa klabu nyingi umeshuka Sancho hatouzwa kwa dau nono sana kulingana na uwezo wake bora auzwe msimu ujao wa kiangazi

    Jibu

    Maoni:Man u. nao wamekua wakiwinda wachezaji wa klabu tofauti tofauti naona kucha anajipanga msimu ujao man u wawe hawashikiki

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Kijana yuko vizuri.

    Jibu

    Acha Abadilishe upepo watafute tu mtu mwingine#Meridianbettz

    Jibu

    Tetesi hizi hupandisha bei ya mchezaji sokoni. Ni kawaida vyombo vya habari Uingereza kunadi mchezaji wao aonekane bora. Bei wanayotaka Dortmund ni kubwa mno kipindi hiki timu nyingi hazina uwezo wa kununua kwa bei hiyo#meridianbettz

    Jibu

    Saf wazame chimbo

    Jibu

    Mmmh akuna Kama yeye

    Jibu

    Watampata tu.

    Jibu

    Sancho ni mchezaj hatar kwa sasa na kumsajili man United kutatengeneza kikosi hatar kwa mashetan wekundu pia naona kama wanajilaumu hv man city kumtoa huyu dogo kukipiga Dortmund akawa mzr zaid na kuuziwa mahasimu wao wa jiji moja kama wangejua kinacho kuja mbele sidhan kama wangempeleka Dortmund

    Jibu

    Habari zuri kwa mashabiki wa dortmud

    Jibu

    Kijana namkubali sana

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mzuri natamani angebaki aliko

    Jibu

    Ni Jambo zuri kumsaka mrithi wake mapema maana dogo ndio huyooo anasepa zake

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Ni habari nzuri kwa mashabiki wa Dortmund

    Jibu

    good news

    Jibu

    Duuh! Sio mbaya

    Jibu

    Replacement kwenye timu nijambo muhimu unapomuondoa mchezaji muhimu kwenye timu.

    Jibu

    Fresh

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.