Liverpool ni kati ya vilabu kadhaa vya Uingereza ambavyo vitakuwa na skauti ambao watahudhuria fainali ya kombe la Ujerumani, inaripotiwa kwamba Leon Bailey atakuwa mmoja wa wachezaji kwenye rada yao.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Jamaica, anafahamika kuwa anatamani kucheza Premier league, na skauti kutoka Manchester City, Manchester United na Everton pia wanatarajiwa kuwepo kuitazama Leverkusen ikicheza dhidi ya Bayern Munich kwenye dimba la Olympiastadion huko Berlin.
Mchezaji huyo wa miaka 22, ambaye inasemekana atapatikana kwa kati ya Pauni 20million hadi Pauni 30m, amehusika katika mabao nane msimu huu.


Frank Patrick
Mr Klopp leta huyu mtu pale Anfield
Devotha
Asante kwa kutujuza #meridianbettz
Povel
Habar njema kwake Kama dili hlo litafanikiwah thnks meridian bet kwa update
Theonestina
Asante meridianbet kwa taarifa
Omary lukumbi
Hii ni zur zaid baily kuja kucheza epl msimu ujao club yoyote ile kati ya hz
Amiri Kayera
Aje man u tunamuhakikishia namb
Issa
Kwa kloop atamchukua tu sababu anajua kukuza vipaji na kuwaimarisha kisoka
Janeflora malisa
Yupo vzr
Revina
Kifaa hiki ni noma liverpool hamwachi ,Asante Meridian nawakubali sana
Franky
Nice news thanks #meridianibet
Furahav
Man u mchukueni kijana huyo.
Edgar
Safi sana Asante kwa makala
Shafii
Yuko vizuri Sana
Saupha mohamed
Yupo vizuri
Theckla
Habari njema
Neema juma
Yuko vzr sana
David Pere
Kama timu inaoogania saini ya mchezaji ,ujue huyo mchezaji ni Bora kwa Sasa .Ni lazima watoe mpunga mkubwa sanaa
Samiah
Yuko vzr sanaaa
mwakalosi
anamfwata mwanae samatta ndani ya English league
Tahiya
Ni vizur kijana akienda kwenye ligi pendwa ya EPL
Evaluziga
Man U mchukuen kijana huyo
warda
Na Dogo anajua Kinyama
Tatu
Hii ni njema kwa man U
JULIANA
Anajua
Magdalena
Fanya mpango wa kwenda anfield ndo pazuri
Mwanahamisi
Yuko vizuri sana
Angelina
Aje man u dogo yuko vizuri
Zeiyana
Nyota yake inawaka kijana Leon bailey bora haende Manchester united
isha
Habari njema
felister
ahsante kwa taarifa
Rehema
Anajielewa
Ester mmakasa
Anafanya vizuri sana ndo maana wanamtaka .
Salma
Man u mchukueni jeshi ilo
Johnmary joel
Tumuachie mwenyewe ,#meridianbett
Hope mwaikuka
Dogo yuko vzur
Ernest
Muda wa Bailey Sasa kuwika
Mwajuma
Inaonyesha Huyu dogo anajua ndomana timu kubwa zinamgombania
Flomena
Dogo matata sanaa
Fatuma kasomo
Dogo anajua sana
Asia Abdy
Aje Liverpool jmn
Genia Sikaluzwe
Jamaa yuko vizuri san
Leonard
Kama wakilizika n kiwango chake wamchukue
Gabriel
Nice update 👍