Kiungo wa Klabu ya Birmingham City, Jude Bellingham amesafiri kwenda nchini Ujerumani kukamilisha uhamisho wake wa rekodi kujiunga na Borussia Dortmund.
Anaamini kupata mafanikio kama ambavyo kapata Muingereza mwingine klabuni hapo, Jadon Sancho ambaye alijiunga kutoka Manchester City Pia akiwa na miaka 17 miaka mitatu iliyopita.

Ripoti kutoka Ujerumani zinasema kwamba nyota huyo mwenye umri wa miaka 17 amewasili Dortmund leo Alhamisi na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka Mitano kwa dau la uhamisho wa pauni milioni 26. Uhamisho ukitimia, Bellingham atakuwa mchezaji ghali zaidi mwenye umri wa miaka 17.

Bellingham ambaye alikuwa akihusishwa sana na kuhamia Manchester United alitokea benchi kwenye mchezo wa jana usiku wakitoka sare ya 1-1 dhidi Charlton Athletic na kutoa assist kuisaidia klabu yake kuelekea eneo salama katika msimamo wa Championship. Hiyo ilikuwa mechi yake ya 42 msimu huu na assist ya pili.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


JULIANA
Asante kwataharifa nzuri
Sadick
Dortimund wamejiongeza kwa kuchukua mbadala wa Jadon Sancho kabla hajasajiriwa na mtu timu nyingine#meridianbettz
Ester jackson
Good news
Ernest
Kila la Kheri Jude Bellingham katika maisha yako mapya ya soka
Theckla
Kila la kheri kwake
Zeiyana
Dortmund wamesajiri bonge la mchezaji chipukizi na kama wakimtumia vizuri tunaimani matakeo yatabadirika
Mwanahamisi
Kila la kheri Jude
felister
kila la kheri katika maisha yako mapya ya soka nakutakia mafanikio mema
Dorophina
Dortimund wamefanya Jambo zuri kumsajili kijana atawafaa sana naamini atakava nafasi yake vizuri
Magdalena
Dortmund mmejiongeza kumchukua kinara uyo
Genia Sikaluzwe
Jude Bellingham Kila la kheri katk maisha yako ya soka tunakutakia Kila mafanikio mema
Rehema
Dortmund mmejiogeza kumchukuwa kiungo
Caroline
all the best Jude
Adelta
Good news
Lydia Emmanuel Magoti
Kira laheri Jude Bellingham
Khadija
Kila la kheri jude#meridianbettz
Samiah
Kila lakheri Jude
devotha
kila la heri kwake
Shafii
Dortmund wanataka kutengeneza kikosi cha ushindani msimu ujao.
Njiku
Hii ipo sawa acha kijana akakipige kwenye ligi ya ushindani wa hali ya juu
mwajumah
Nice#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Issa
Habari njema kwa wapenzi wa dortmund
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
MnonganeJR
Habari njema kwa mashabiki wake & timu ya Dortmund kwa ujumla…huyo dogo ni fundi Sana wa mpira#meridianbettz
Mariam mtandama
Habari njema
Fatuma kasomo
Dortmund anataka kutengeneza kikosi cha ushindi
Gabriel
Good news 👍
Furahav
Habari nzuri.
Revina
Kila la heri kwake na asante Meridian kwa taarifa
sabrina
Asante kwa taarifa
Saupha mohamed
Good news
Omary lukumbi
Replace mzr sana
David Pere
Dogo amelamba bingo kubwa sanaa maana toka chini mpaka juu
aisha
Kila la kheri kwake
Neema juma
Habari njema
Angelina
Kila la kheri
Amiri Kayera
All d best
Povel tz
Habar njema
Salma
Habari nzuri
warda
Hongera yake#Meridianbettz