Hertha Berlin, Yapania Kurejea Kwa Kishindo Msimu Ujao

Klabu ya kandanda ya Hertha Berlin inalenga kurejea katika ligi kuu ya soka ya Bundesliga msimu ujao tofauti na harakati zake katika msimu uliopita, amenukuliuwa akisema Rais wa klabu hiyo, Werner Gegenbauer.

Hertha Berlin
Hertha Berlin

Klabu ya kandanda ya Hertha Berlin inalenga kurejea katika kandanda la Ulaya kwa kufanya vyema katika ligi kuu ya soka ya Bundesliga msimu ujao tofauti na harakati zake katika msimu uliopita, amenukuliuwa akisema Rais wa klabu hiyo, Werner Gegenbauer, wakati akizunguma na gazeti la Bild.

Hertha ilimaliza msimu katika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Bundesliga iliyofikia tamati mwishoni mwa mwezi uliopita, huku ikikutana na changamoto nyingi ikiwemo fukuza fukuza ya makocha wanne tofauti katika msimu mzima akiwemo Juergen Klinsmann.

“Tunaangazia mbele, nafasi za juu katika msimamo wa ligi ni malengo yetu. Hii pia inajumuisha kufuzu nafasi ya kucheza michuano ya soka ya Ulaya, bora katika ligi ya Mabingwa,”aliongeza, Gegenbauer

Hertha ambao mnamo mwaka 1978 hadi 1979 walifanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya kombe la UEFA na mara ya mwisho kwa klabu hiyo kushiriki katika ligi ya Europa ambapo waliondolewa katika hatua ya makundi.

Hertha wanarejea tena katika msimu ujao wa Bundesliga na mfadhiri wao Lars Windhorst ambaye hivi karibuni, alitangaza atawekeza euro milioni 150 sawa dola za Kimarekani 169 kwa klabu hiyo akitaka kuifanya kuwa miongoni mwa miamba ya soka nchini Ujerumani kwa muda mrefu.


Unafurahia kubashiri michezo gani?

Yote unaipata hapa Meridianbet

Bashiri Sasa

46 Komentara

    Habari njema

    Jibu

    Maoni:Hartha Berlin wanakaribiswa Bundesliga waje kusakata kabumbu

    Jibu

    Itakua poa

    Jibu

    Dah irudi bundesliga kitambo sana

    Jibu

    Duu imekua vzr kuleta challenge kwenye nafasi za juu kushiriki europa au uefa

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Hertha wanajitahidi sana

    Jibu

    Kama watajiandaa vizuri wataweza kurudi kwa kishindo

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa taarifa njema kama hii

    Jibu

    ngoja tuone

    Jibu

    Waooow that Great

    Jibu

    Ajipange tu

    Jibu

    Wajipange Sana ligi bundesiliga sio ya mchezo mchezo#meridianbettz

    Jibu

    Waongeza juhudi zaidi ili wafikie malengo yao kucheza bundasliga

    Jibu

    Klabu ya Hertha Berlin inalenga kurejea katika kandanda la Ulaya kwa kufanya vyema katika ligi kuu ya soka ya Bundesliga msimu ujao tofauti na harakati zake katika msimu uliopita#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    Wajipange sana ligi sio lelemama

    Jibu

    Wajipange ligi ya bundersliga sio ya kitoto ngoja tuone itakavyokuwa

    Jibu

    karibuni tena

    Jibu

    Hertha wanajitaidi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Itapendeza ikirejea

    Jibu

    Wajipange kila kitu ni malengo yenye uhakika kama watafanya maziezi ya kutosha basi wanaweza kufanya mchezo ukawa mzuri wenye mafanikio

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Itapendeza sana wakirejea

    Jibu

    Itakuwa nzuri wakirejea

    Jibu

    Hitakuwa nzur

    Jibu

    Wafanye maandalizi ya kutosha

    Jibu

    kama watajiandaa vya kutosha watarudi kwa kishindo

    Jibu

    Kufukuza makocha sio sababu hinataikiwa husajiri wa wachezaji wenye huwezo wa haina yake kidogo ili kufikia malengo ya kufuzu nafasi ya kuchezea michuano ya soka la ulaya ukiangalia hapo nyuma walifanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya kombe la UEF

    Jibu

    Wafanye kweli sisi yetu macho tuu.

    Jibu

    Asantee kwa Taarifa

    Jibu

    Natumaini Hertha wataleta mapinduzi msimu ujao

    Jibu

    Berlin hertha waanzag vzr kumaliziah inakuwagah shda sana

    Jibu

    gud

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Nic team

    Jibu

    Watakua wamejipanga vema

    Jibu

    Bac itakuwa balaa.

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Ni vizuri kujipa moyo

    Jibu

    Habari njema kwa wana hertha.

    Jibu

    Vizuri sana kujipa moyo#Meridianbettz

    Jibu

    Yaa nice team.

    Jibu

Acha ujumbe