Majeraha ya Goti Kumuweka Jordan Henderson Nje Msimu Huu

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amethibitisha kuwa nahodha, Jordan Henderson atakaa nje ya dimba kwa kipindi chote cha msimu huu kutokana na jeraha la goti.

Kiungo huyo wa England aliumia kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Brighton Jumatano hii baada ya kuumizwa goti lake la kushoto na Yvess Bissouma wakati wakigombania mpira.

Kwenye mkutano na wanahabari leo Ijumaa, Klopp amesema kwamba Henderson hatacheza tena katika kikosi cha mabingwa kinachosaka kuvunja rekodi ya Ligi Kuu England kwa kufikisha pointi 100 msimu huu.

Mchezaji huyo wa zamani wa Sunderland hatahitaji kufanyiwa upasuaji, na kocha wake ana matumaini kuwa atakuwa fit pale msimu mpya wa 2020-21 utakapoanza.

Klopp pia amethibitisha kwamba beki Dejan Lovren yuko fit na anapatikana kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Burnley huko Anfield, ambapo Liverpool inaweza kusonga mbele na kufikisha alama 95.

Liverpool bado wana game dhidi ya Arsenal, Chelsea na Newcastle United kwenye mechi zao za mwisho kusaka rekodi ya kufikisha Alama 100.

48 Komentara

    Henderson umri nao ushamtupa mkono kwa sasa ukichanganya na majeruhi uwezo ndo ushapotea ivo.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Age ishakata hapo

    Jibu

    pole sana; ila hakuna madhara kwa yeye kutokuwepo uwanjani bado kikosi cha liverpool kinajitosheleza sana

    Jibu

    Ucjal utapona tu.

    Jibu

    Aah pole sana unadrson

    Jibu

    Maoni:utapona tu Henderson

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    So sorry

    Jibu

    Henderson umri umeenda lakin n kiungo mzr na amefanya kazi.ya ziada na mchango.mkubwa mpk Liverpool kutwaa taji msimu huu

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Pole kwake

    Jibu

    Mungu atamsaidia atapona

    Jibu

    Na umri ulivyoenda kupona mapema ni mafaliwa ya muumba

    Jibu

    Pole yake kwake

    Jibu

    huu msimu ushaisha kwa Liverpool

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Tutamwona msimu ujao

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool. Capt Henderson ni mchezaji muhimu Sana#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana Hernderson

    Jibu

    Umri umesha mtupa mkono Ila kiungo machachari sana#meridianbettz

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana mungu atakusadia

    Jibu

    Bad news kwa mashabiki

    Jibu

    Pole Sana kwake ila umri ushaenda angepumzika tu soka

    Jibu

    pole jordan

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Utapona broo wala usijali hayo ni majaribu tuu

    Jibu

    Pole kijana changamoto za majeruhi katika mpira zinatokeaga haswa kipindi hichi cha kusaka ubigwa

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Duuuuh pole

    Jibu

    Litapita ila pole

    Jibu

    Pole yake atapona tu ingawa umri ushamtupa mkono

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool

    Jibu

    pole mwenyezi mungu atakupa taafifu

    Jibu

    Pole kaka ,utapona kwa uwezo wa mungu.

    Jibu

    Duh Pole kwake

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Majeraha yamekuwa yakimwandama Jordan Henderson mara kwa mara, Liverpool watammis sana Captain wao ndani ya pitch

    Jibu

    mmmh

    Jibu

    Pole sanaaa

    Jibu

    Aiseee pole yake

    Jibu

    Mungu amfanyie wepes apone mapema arejee kwenye game

    Jibu

    Duh sa itakuaje

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole Sana ingawaje umri umekimbia I will mic San mashabiki wa Liverpool, utapona bench kwa muda afya muhim

    Jibu

    Pole yake#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe