Manchester City watakuwa wakijaribu kuwinda taji lao la kwanza la michuano ya Ulaya ndani ya kipindi cha miaka 50 usiku wa leo katika robo fainali ya Champions League. City wamekuwa …
Makala nyingine
Fenkie De Jong amesema kwamba aibu ya kufungwa 8-2 na timu ya Bayern Munich kwenye mashindano ya Champions League siku ya Ijumaa imeonesha ni kwa kiasi gani kuna matatizo mengi …
Saul Niguez ameomba radhi kwa mashabiki wa timu ya Atletico Madrid baada ya kutolewa kwenye michuano ya Champions League na timu ya RB Leipzig kwenye hatua ya robo fainali kwa …
Golikipa wa Atletico Madrid Oblak amesema kwamba hatima yake katika timu ya Atletico itajulikana baada ya Champions League kumalizika. Golikipa huyo wa Slovenia amekuwa akihusishwa kuuzwa Chelsea baada ya kudumu …
Matumaini ya vilabu vya soka vya Ujerumani kwa mashabiki wake kurejea uwanjani yameyeyuka baada ya mkutano wa afya kutupilia mbali uwezekano huo. Matumaini ya vilabu vya soka vinavyoshiriki ligi kuu …
Romelu Lukaku amefanikiwa kufunga goli la tisa mfululizo katika michuano ya Europa League kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Bayer Leverkusen siku ya Jumatatu na kuweka historia mpya kwenye …
Kiungo wa Paris Saint-Germain Pablo Sarabia amewahamasisha wachezaji wenzake kutengeneza historia ya timu hiyo kwa kushinda Champions League. Wababe hao wa Ufaransa hawajawahi kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano …
Sancho amejumuishwa katika kikosi cha watu 31 cha timu ya Borussia Dortimund kilichoanza mazoezi nchini Switzerland licha ya uvumi kuendelea kujiunga na timu ya Manchester United. Mchezaji huyo wa timu …
Ratiba ya Bundesliga imetoka kwa msimu 2020-21 na timu ya Bayern Munich imepangwa kukutana na timu ya Schalke katika dimba la Allianz Arena siku ya Septemba 18 kwenye mchezo wa …
Wakala wa Tahith Chong amesema sema kinda huyo anataka kwenda ligi ya Bundesliga hali ya kuwa Werder Bremen wameripotiwa kuwa karibu kumaliza dili hiyo ya mkopo na mchezaji huyo wa …
Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain Tuchel amekiri kupata wasiwasi kuhusu majeraha aliyoyapata Marco Verratti. Verratti alikosa mchezo wa PSG wa kirafiki dhidi ya Sochaux siku ya Jumamosi baada ya kuumia …
Kocha wa Aston Villa, Dean Smith anakusudia kukiimarisha kikosi chake katika safu ya ushambuliaji baada ya kufanikiwa kuepuka kushuka dara kutoka Premier League. Katika kuhakikisha inafanikiwa katika hilo, wamekusudia kumsajili …
Mchezaji wa Manchester United Smalling athibitisha kuondoka Roma kuelekea kurejea kwa Europa League. Mlinzi huyo wa Manchester United Chris Smalling amesema kwamba hatohusishwa katika katika michezo ya Roma iliyosalia kwenye …
Robert Lewandowski amesema kwamba Jurgen Klopp ana “sura mbili ” anasura kama baba pia ana sura kama kocha. Nyota huyo wa Bayern Munich alipaza sauti kwa Meneja huyo wa Liverpool …
Matthias Ginter ataendelea kubaki katika timu ya Borussia Monchengladbach licha ya kuripotiwa timu za Chelsea, Atletico na Inter kumuhitaji. Beki huyo wa kati Mjerumani amekuwa akihusishwa na kujiunga na vilabu …
Dayot Upamecano amemaliza uvumi kuhusu hatima yake kwa kusaini kandarasi mpya na klabu ya Bundesliga RB Leipzig. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anayecheza nafasi ya ulinzi alikuwa akihusishwa …
Mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich Karl- Heinz Rummenigge amethibitisha kwamba Thiago Alcantara ataondoka katika klabu anayoichezea sasa Fc Bayern Munich. Thiago atakuwa nje ya mkataba mwaka ujao na mchezaji …
Sebastian Hoeness, mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani Dieter Hoeness na mpwa wa rais wa zamani wa Bayern Munich Uli Hoeness, ameteuliwa kuwa kocha wa Hoffenheim. Klabu hiyo ya …
Jadon Sancho anatarajia kurudi mazoezini wiki hii hali ya kuwa kuna mazungumzo mapya ya uwezekano wa kuondoka kwenda Manchester United. Nyota huyo wa Uingereza amekuwa akihusishwa na kuhamia na Mashetani …
Klopp amesifu kiwango cha mchezaji wa Bayern Munich Thiago huku kiwa na tetesi za Liverpool kumsajili mchezaji huyo wakati wa dirisha la usajili. Jurgen Klopp ameonekana kuwa na dhamira ya …

