Tuchel Ahofia "Jeraha Kubwa" kwa Verratti.

Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain Tuchel amekiri kupata wasiwasi kuhusu majeraha aliyoyapata Marco Verratti.

Verratti alikosa mchezo wa PSG wa kirafiki dhidi ya Sochaux siku ya Jumamosi baada ya kuumia akiwa mazoezini.

Hali ya kuwa tayari Juventus itamkosa nyota wake Klyian Mbappe kwenye mchezo dhidi ya Atalanta katika michuano ya Champions League, Verratti pia yupo kwenye shaka kubwa la kukosa mechi hiyo itayochezwa tarehe 12 nchini Ureno.

Tuchel amesema alikuwa na wasiwasi kuhusu Verratti ingawa bado hajapata uhakika wa ukali wa jeraha la kiungo huyo wa Italia.

“Tulikuwa na wasiwasi kwa sababu lilikuwa ni jeraha kubwa,” alisema kwenye mkutano na waandishi.

“Sasa tutasubiri, sijui hasa nini kilicho tambulika, lakini nitaongea na daktari ili tujue kama tatizo litakuwa na ukali kiasi gani.

‘Lakini tuna hofu kubwa.”

PSG watawakabili Atletico Madrid au RB Leipzig katika hatua ya nusu fainali kama wakifanikiwa kuwatoa Atalanta.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

40 Komentara

    Daaaaaa!!! itakuwaje sasa?#Meridianbettz

    Jibu

    Duuh pole yake verratti mungu akufanyie wepesi uingie uwanjan#Meridianbettz

    Jibu

    Duuh pole sana tucher utapona kwa uwezo wa mungu

    Jibu

    Pole sana Tuchel, utapona

    Jibu

    Polen sana mana wrote mnamchango MKUBWA kwenye uwanja

    Jibu

    Wachzaji wengi wamekua na of pale wanapopata majeraha pole sana mpambanaji tuchel

    Jibu

    Mungu yupo pamoja nawe utapata nafuu

    Jibu

    Mungu amsaidie

    Jibu

    Pole Sana mungu Ni mwema utapona
    #meridianbettz

    Jibu

    Mungu amsaidie

    Jibu

    Majeruhi ya Marco Verrati yanaweza kugharimu nafasi ya PSG kusonga mbele#meridianbettz

    Jibu

    Msiwe na hofu Kila kitu kitakua sawa

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Pole yake, atapona

    Jibu

    duuh pole sana#meridianbettz

    Jibu

    Duu pole Sana Tuchel utapona

    Jibu

    Pole yao kwenye mechi hii wanamchango mkubwa sana sijui itakuwaje

    Jibu

    kiungo akiwa na mchango mkubwa katika timu akiumia lazima wengine wapate mawazo

    Jibu

    Sasa tutasubiri, sijui hasa nini kilicho tambulika, lakini nitaongea na daktari ili tujue kama tatizo litakuwa na ukali kiasi gani.

    Jibu

    Hili ni pengo kwa PSG

    Jibu

    Pole Sana itakuwa pengo kubwa Sana kwa PSG

    Jibu

    Duuuh! Habar ya kusikitisha sana kwa club ya PSG

    Jibu

    Daah pole yao PSG

    Jibu

    Daah hizi ni habari mbaya

    Jibu

    Kama kademu ila uwanjani shughuli yake sio ya kitoto

    Jibu

    Polee sana

    Jibu

    Mungu amsaidie t

    Jibu

    Pole sana kijana ucjali utapona tu

    Jibu

    Daah! Pole sana kwake ,mungu amfanyie wepesi alone upesi.

    Jibu

    Pole bhana utakaa sawa tu

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Get well soon.

    Jibu

    Atapona tu na ataingia uwanjani na kuisaidia timu yakee

    Jibu

    Nipengo kubwa kwa psg

    Jibu

    sa itakuaje

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa mpira

    Jibu

    Majeruhi ndio yanayo poteza kiwango kizuri cha Marco verat.

    Jibu

    Mungu amsaidie

    Jibu

    I feel sorry for him

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.