Makala nyingine

Kocha wa zamani wa Huddersfield, David Wagner ametimuliwa na Schalke 04 baada ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kupoteza mechi mbili za kwanza za msimu huu wa …

Borussia Dortmund waliduwazwa na FC Augsburg kwa kichapo cha 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) iliyohudhuriwa na takriban mashabiki 6,000 uwanjani WWK Arena mnamo Septemba 26, 2020. …

Thiago Alcantara ataipeleka Liverpool katika “Levo nyingine” ikiwa Jurgen Klopp anajenga utawala hapo Anfield. Hayo yalikuwa ni maono ya mchezaji mwenzake wa Liverpool Sadio Mane, ambaye amefurahia kuona Alcantara akihama …

Jadon Sancho ana viwango vyote kuja kuwa mchezaji mzuri kama Christiano Ronaldo, hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Dortmund Raphael Guerreiro. Muingereza huyo wa kimataifa Sancho amejipatia umaarufu …

Miamba ya Ujerumani Bayern wanampango wa kubeba Bundesliga mara ya tisa mfululizo kwa msimu 2020-21 na usiku wa leo watawakaribisha Schalke katika dimba la Allianz Arena. Mabingwa hao wa Ulaya …

Lucas Hernandez hafikirii kuondoka katika klabu ya Bayern Munich wakati huu wa dirisha la usajili lakini amesema ajifikiria tena kama hali itaendelea kuwa hivi msimu huu. Mchezaji huyo wa Ufaransa …

UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?   Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na …

Hatimaye Antoine Griezmann amepata jezi yenye namba saba aliyokuwa ikiitaka tangu siku ya kwanza atue Barcelona mwezi Julai mwaka 2019,namba iliyokuwa ikimilikiwa na Philippe Coutinho, kabla alikuwa akivaa jezi namba …

1 2 3 18 19 20 21 22 23 24 33 34 35
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.