Griezmann Alamba Jezi Namba Saba Aipendayo.

Hatimaye Antoine Griezmann amepata jezi yenye namba saba aliyokuwa ikiitaka tangu siku ya kwanza atue Barcelona mwezi Julai mwaka 2019,namba iliyokuwa ikimilikiwa na Philippe Coutinho, kabla alikuwa akivaa jezi namba 17.

Mchezaji huyo wa zamani wa Atletico Madrid aliipuuza namba aliyopewa pindi alipofika Camp Nou na ameeleza kuwa kupata namba saba kwake ni “Heshima”.

Lakini Coutinho aliyerejea Barca baada ya kutumia msimu mzima katika klabu ya Bayern Munich kwa mkopo na kufanikiwa kushinda mataji matatu, ameacha viulizo katika vichwa vya watu wengi kama ataendelea kusalia Barca au atasepa klabuni hapo.

 

Katika mtandao wa Instagram Griezmann aliandika: “Ni heshima kuvaa namba 7 nikiwa Barca!”

Aliongeza: “Ningependa kumshukuru Coutinho, ambaye ni mchezaji mkubwa na rafiki yangu kwa kumpokea namba hii.”

Mabadliko hayo yalitangazwa na Barcelona katika mitandao yao ya kijamii ikiwa ni video ambayo ilimshirikisha nyota wa NBA kutoka Brooklyn Nets, Kevin Durant aliyefungua boksi lililokuwa na jezi ya Barcelona namba 7 yenye jina la Griezmann.

Griezmann alifunga magoli 15 katika michezo 41 msimu uliyopita akiwa na Barcelona lakini alikumbwa na ukosoaji baada ya kutokua na kiwango kizuri tofauti na ilivyo kuwa ikitarajiwa.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

 

37 Komentara

    Safi tu kwani anajua kuitendea haki

    Jibu

    Vizuri Sana ndio haipendayo yeye Grizmann

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Hongera yake kupta akipendacho!

    Jibu

    Ni Vizuri sana kupata kitu unachokipenda@meridianbettz

    Jibu

    Ndio pa kuitendea haki jezi Antoine kama mwenyewe alivyokuwa

    Jibu

    Apate akipendacho safi sana

    Jibu

    Wachezaji wengi wana amini katika namba ya bahati kama vile Michael Jordan 23, CR7 na Messi 10#meridianbettz

    Jibu

    Namba ya bahati ni namba saba rahisi sana kupata umaarufu#Meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    yuko vzr azid kupmbna

    Jibu

    Mwenye namb yake kaichukua good

    Jibu

    Namba yenye bahati wachezaji wengi wanaitaji

    Jibu

    Hope ataitendea kazi vyema

    Jibu

    Jezi namba Saba hua inavaliwa na mafundi wa mpira matumaini yangu ataitendea haki.

    Jibu

    Griezmann Apewe nini tena??!! Wakati wake sasa

    Jibu

    Yupo vzr Grizman

    Jibu

    Sio kuvaa jezi tu,aoneshe kiwango kizuri.

    Jibu

    Safi sana ameitendea haki

    Jibu

    Aitendee haki hiyo jez

    Jibu

    Safii

    Jibu

    nice

    Jibu

    Safi sana kijana kapige mpira

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Safi san na aitendee haki jez hiyo afanye mara 3 zaid ya alivyokuw atletico

    Jibu

    wakati wake sasa tumuache#meridianbettz

    Jibu

    Good

    Jibu

    Jamaa anajua aitendee haki iyo jezi

    Jibu

    Sio kuvaa jezi tu ajue na kuitendea haki uwanjan#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    huu ndo wakati wako sasa

    Jibu

    Gud sisi mashabik tunatak haitendeh haki namb #7

    Jibu

    Ameitendea haki

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Inapendeza kupata kipenda roho

    Jibu

    Waoohh.

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.