Paris Saint-Germain Yamsaini Florenzi Kutoka Roma.

Paris Saint-Germain wamefanikiwa kumsaini mchezaji Alessandro Florenzi kutoka klabu ya Roma kwa mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua moja kwa moja.

Mchezaji huyo aliyecheza mechi 36 katika timu ya taifa amekuzwa katika akademi ya Roma na alianza kucheza timu ya wakubwa mwaka 2011 akiwa kama kiungo, amecheza michezo 280 katika timu hiyo ya Serie A.

Alitajwa kuwa nahodha mwaka 2019 lakini alitumia nusu ya msimu akiwa na Valencia kwa mkopo na alicheza michezo 14 katika mashindano yote.

Bosi wa PSG Thomas Tuchel alithibitisha siku ya Jumatano kwamba alikuwa sokoni kutafuta beki mpya wa kulia na dili sasa imekamilika na klabu ya Roma.

Paris Saint-Germain Yamsaini Florenzi Kutoka Roma.
Alessandro Florenzi

Mabingwa hao Ufaransa, ambao pia walikuwa wakihusishwa na kumsajili beki wa Arsenal Hector Bellerin, walimtangaza Florenzi kutua PSG katika tovuti yao rasmi siku ya Ijumaa.

“Ninajivunia na ninafuraha kuwa mchezahi wa Paris Saint-Germain,” alisema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29.

“Ni moja ya klabu kubwa sana barani Ulaya, walithibitisha hilo mwezi uliyopita katika fainali ya Champions League ingawa hawakufanikiwa kushinda.

PSG wameanza msimu mpya wa Ligue 1 na waliwakosa wachezaji wao muhimu saba kutokana na kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona na kupoteza kwa 1-0 dhidi ya Lenz siku ya Alhamisi.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

35 Komentara

    Vizur

    Jibu

    Fresh tu..

    Jibu

    Mdogo mdogo PSG itakaa poa#Meridianbettz

    Jibu

    Vizuri Sana Paris kumsajiri kiungo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vizuri sana@meridianbettz

    Jibu

    Ni usajir mzur wenye tija

    Jibu

    PSG imepoteza wachezaji muhimu walioondoka kama vile Thiago Silva na Cavani #meridianbettz

    Jibu

    PSG wapo vizuri kwa usajili saiz maana wanasajili wachezaji wazuri

    Jibu

    PSG wapo makini

    Jibu

    Kajiunga na klabu nzuri ambayo ufaransa ndo wababe wa ligue 1

    Jibu

    Deal done.

    Jibu

    Usajiri mzuri kwa PSG

    Jibu

    Psg wamefanya usajili mzuri

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Ni usajili mzuri wenye kuleta mafanikio kwenye kikosi chao

    Jibu

    Usajili mzuri sana 👍

    Jibu

    Psg awajakosea

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Karibu psg

    Jibu

    Psg wamesajili mtu makini sana

    Jibu

    Florenze ataleta upinzan safu ya viungo na inabid apigan kupata namba aabab kuna watu kama herrera na verati

    Jibu

    Habariii njema

    Jibu

    Usajiri mzuri kwa PSG#meridianbettz

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    usajili mzuri kwa psg

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Usajili mzuri kwa psg

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Huo ni usajili mzuri

    Jibu

    Vizuri Sana Paris kumsajiri kiungo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.