UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?
Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi
Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na hata mashabiki zaidi ya miaka 1,000 zilizopita.
Lakini soka hiyo ya upigaji shuti, ni tofauti kabisa na soka ya kisasa.
Juhudi za Uingereza za kutunga sheria, umewezesha kubuniwa kwa mashirikisho ya soka, na kufanya soka mchezo wa kimataifa, mchezo wa watu.
SASA YA CHINA SIO KANDANDA TUBAKI KUIITA “KICKBALL”?
Licha ya yote, Rais Xi Jinping anayedaiwa kuwa shabiki wa soka wa Manchester United anashikilia kuwa lengo kuu ni taifa lake kufuzu kwa Kombe la Dunia, kuliandaa kombe hilo na hata kulitwaa.
Usishangae kuwaona mastaa wakitwaa mabunda na kuchagua kucheza soka ya kulipwa nchini China- ni lengo lenye mwelekeo.
Mfalme Taizu wa enzi ya Song akicheza ‘kickball’
NA ENGLAND JE?
Sheffield FC, ndiyo klabu ya soka kongwe zaidi duniani ambayo bado imeendelea kuwepo.
Ilikuwa ndiyo klabu ya kwanza kuweka sheria za kisasa za kucheza mchezo wa kandanda mwaka 1858, ingawa wakati huo bado wachezaji waliruhusiwa kutumia mikono yao.
Miaka ya 1860 mchezo huo ulianza kubadilika na ukaendelea hadi kufikia ule unaochezwa kwa sasa. Mchezaji wa ndani ya uwanja hakuruhusiwa kunawa mpira, kulikuwa na wachezaji 11 kila upande, na kisha muda ukawa dakika 90.
Siku hizi, mchezo wa kandanda huonekana wa kawaida hasa katika jamii zinazotukuza juhudi za pamoja.
Katika enzi za ustaarabu, ilikuwa kawaida kuwepo mchezo wa kugonga teke kitu chochote, kiwe ni kitambaa, au ngozi iliyojazwa vitu ndani mfano manyoya au hata kitu kingine chochote kilichojazwa hewa, mfano siku hizi kucheza na puto.
Lakini kuwepo kwa sheria na kanuni kali mchezoni mara nyingi hutokea katika jamii zenye ustaarabu mkubwa.
Lakini jamii zinazotukuza ufanisi wa mtu binafsi, uchezaji wa timu haukutukuzwa. Mfano enzi za ustaarabu wa Wagiriki ambapo michezo ya mtu mmoja ilienziwa zaidi.
FIFA NAO WALITOKA WAPI?

Chimbuko ni mwaka 1863 mashirikisho ya mchezo wa raga na kandanda yalipojitenganisha na Shirikisho la Soka la England likaundwa, na kuwa shirikisho la kwanza la usimamizi wa soka duniani.
Mashirikisho yalianza kuenea, Scotland (1873), FA ya Wales (1875) na FA ya Ireland (1880).Mchezo huo ulieneza duniani kutokana na utawala wa Uingereza maeneo mengi.
Netherlands na Denmark waliunda vyama vya soka 1889, New Zealand (1891), Argentina (1893), Chile (1895), Switzerland, Belgium (1895), Italia (1898), Ujerumani, Uruguay (wote wawili mwaka1900), Hungary (1901) na Finland (1907).
FIFA ilianzishwa mjini Paris, Ufaransa Mei 1904 na mataifa saba waanzilishi: France, Belgium, Denmark, Netherlands, Spain (ikiwakilishwa na Madrid FC), Sweden na Uswizi. Chama cha Soka cha Ujerumani kilituma barua ya kutaka kujiunga siku hiyo hiyo.
Chanzo: BBC
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Povel
Bonge la makala la history ya kandanda thnks meridian bet tz
Caroline
Asante kwa taarifa
felister
historia nzuri
Adelta
Bonge la makala ya history ya soka Ni china mashabiki Kama wote@meridianbettz
Dorophina
Historia nzuri sana hii
Theckla
History nzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Duu kumbe China nao wamo
Antony Luseno
Nakala nzuri #meridianbettz
Tatu
History nzuri
Rose kapinga
Mi nilijua Mambo ya hu ha master kumbe adi kandanda wanalisakata hatari Sana!!!
Ernest
Kama China kuna Shaolin soccer basi nakubali ata soka lilianza kwao japo waliita KickBall
rama
historia nzuri
Mwanahamisi
Historia tamu
Fatina mfigi
Asanteh kwa taarifa nimeelewa vizur!!
aisha
Soka ni mchezo ambao unakutanisha watu pamoja
Amiri Kayera
Kwer wazung wamebolesh tu
Hopemwaikuka
Axante mmenijuza hili
Rehema
Asante kwa taarifa
Furahav
Iko vizuri.
Mwajumah
Historia nzuri#Meridianbettz
Shafii
Nimeipenda Sana hii.
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Issa
Soka ni burudan na inadumisha mahusiano
Khadija
Habari moto#meridianbettz
Sabrina
Historia iko vizur
Saupha mohamed
Habari njema
Nasra
Gud news
Sauda
Iko vizuri
Neema
Historia nzuri
sylvester
Elimu Dunia nzuri ya soka imetulia
Latifa juma mohamed
Daah nmefurahishwa sana na hii habari ya soka ulimwengun, so nice story.
Tumaini kasalile
Asante kwa taarifa
Johnmary joel
Meridian mnatufurahisha historia iko vizuri unajua mengi na kujifunza mengi#meridianbett
warda
Kwa kweli mie Sikubaliani na hilo Mana china kwenye Mpira Bado wako nyuma#Meridianbettz
Ester jackson
Asante kwa nakala
Flomena
Asante kwa historia nzuri
Asia Abdy
Interesting
Zeiyana
China nchi yao itakua imejaaliwa kwa kila kitu
Janeflora malisa
Iko poa
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
Theonestina
Iko poa Sana
magdalena
ahsante kwa historia nzuri sana mengine nilikuwa sina ufahamu nayo
Samiah
Duuh
David Pere
Kama China kuna Shaolin soccer basi nakubali ata soka lilianza kwao japo waliita KickBall