Diego Simeone Akutwa Na Virusi vya Corona.

Kocha mkuu wa Atletico Madrid Diego Simeone amepima na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona, klabu hiyo ya LaLiga imethibitisha.

Kikosi kizima cha Atletico Madrid na benchi la ufundi walifanya upimaji wa COVID-19 siku ya Ijumaa baada ya kurejea kutoka Los Angeles Marekani walipokuwa wakijiandaa na msimu mpya wa LaLiga.

Simeone sasa atalazimika kujitenga ingawa hakuonesha dalili zozte kama ana maambukizi.

Diego Simeone Akutwa Na Virusi vya Corona.
Kocha wa Atletico Madrid, Diego Pablo Simeone

“Baada ya kuchunguza sampuli hizi ndani ya maabara iligundulika kuwa mwalimu wetu Diego Pablo Simeone, amepata maambukizi ya COVID-19,” Atletico walisema kwenye maelezo.

“Bahati nzuri kocha wetu hakuonesha dalili na kwa sasa yupo nyumbani akiendelea kujitizamia na kufuata utaratibu uliowekwa na mamlaka za afya ili kuepuka usambazaji wa virusi.

Atletico wanatarajia kusafiri mpaka Cadiz kwa mchezo wa kirafiki siku ya Jumanne kabla hawajaanza mbio za LaLiga Septemba 27 kwa mchezo dhidi ya Granada.

Atletico Madrid walitupwa nje ya michuano ya Champions League na timu ya RB Leipzig msimu uliyopita katika hatua ya robo fainali.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

50 Komentara

    Ni habar mbay Kwa A.Madrid maan ligi inakalibia

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    I feel sorry for him

    Jibu

    Pole sana.

    Jibu

    Diego someone pole Sana hii Ni habari mbaya kwa A.Madrid @meridianbettz

    Jibu

    Daa habari mbays

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duu Corona sio poa Mungu atakufanyia wepesi upone Diego

    Jibu

    Pole sana#Meridianbettz

    Jibu

    Dah pole sana

    Jibu

    Habari mbaya sasa itakuwaje madrid maana hii habari haipokeleki corona ishakuwa tishio

    Jibu

    Corona Noma

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    duh

    Jibu

    Ni habari mbaya kwa wana altetical Madrid.

    Jibu

    Balaa hili kwa Atletico Madrid

    Jibu

    Get well soon mwamba

    Jibu

    Mungu ampe wepesi apone

    Jibu

    duuh hatar

    Jibu

    Pole sana diego simeone kwa kuumwa na ugojwa wa covid 19

    Jibu

    Korona ni tishio michezoni

    Jibu

    Duh pole bhana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    duh!!!pole sana#meridianbettz

    Jibu

    Pole yake aisee

    Jibu

    Janga la dunia

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

    Pole yakeee

    Jibu

    Mungu ampe afueni apone haraka arudi kazini kuwanoa Atletico Madrid

    Jibu

    Daaah sad news

    Jibu

    Daah among the bad news,covid 19 huu ugonjwa sio poa kabisa.

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Jamani pole yake#meridianbett

    Jibu

    Hii Corona sasa tunaishi nayo#Meridianbettz

    Jibu

    Hii. Corona bado Ni tishio

    Jibu

    Pole jamani

    Jibu

    Korona himekua hatari sana

    Jibu

    Corana imekuwa tishio

    Jibu

    Pol

    Jibu

    daaa corona inasumbua sana dunia

    Jibu

    Dah habari mbaya

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole Sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Duuuuh hatari

    Jibu

    huu ugonjwa ni balaa sana atakuwa sawa hivi karibuni

    Jibu

    Noma sanaa Corona

    Jibu

    Habari mbaya sasa itakuwaje madrid maana hii habari haipokeleki corona ishakuwa tishio

    Jibu

Acha ujumbe