Lucas Hernandez hafikirii kuondoka katika klabu ya Bayern Munich wakati huu wa dirisha la usajili lakini amesema ajifikiria tena kama hali itaendelea kuwa hivi msimu huu.
Mchezaji huyo wa Ufaransa na mshindi wa kombe la Dunia alijiunga na Bayern Munich akitokea Atletico Madrid kwa kitita cha €80m msimu 2019-20.
Lakini, Hernandez amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu aliyopata mwezi Oktoba mwaka jana na amekuwa akipambana kupata muda zaidi wa kucheza huku nafasi anayocheza kukiwa na David Alaba na Alphonso Davies .
Kiujumla mlinzi huyo wa Munich amecheza michezo 12 pekee katika mashindano yote msimu uliyopita na klabu Paris Sanit-Germain wamekuwa wakihusishwa na kuinasa saini ya beki huyo wakati huu wa dirisha la usajili.

Ingawa kwa sasa Hernandez amepanga kuendelea kusalia katika klabu ya Bayern Munich ambao walifanikiwa kutwaa, Bundesliga,DFB-Pokal na Champions League wakiwa chini ya kocha Flick.
“Kuondoka Bayern? Hapana, bado nina miaka minne kwenye mkataba wangu niliyo saini,” aliiambia Telefoot.
“Lakini itategemea na msimu huu kama sintofahamu ya kupata nafasi ya kucheza itaendelea tutanagalia nini kitafuata.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Issa
Ni safi kuendeleza kukipiga bayern
Ernest
Tatizo pekee litakalokuwepo ndani ya Bayern ni kupata namba
Sabrina
Inapendeza aendelee kukipiga Bayern
Hopemwaikuka
Vzur kama ni sehemu sahihi kwako
Amiri Kayera
Anaitaji kulipa maan kasajiliwa Kwa gharam af ajaonyesh cheche zake
Khadija
Ni safi kuendelea kukipiga bayern#meridianbettz
Sauda
Abaki na msimamo huo huo
Nasra
Abaki na msimamo huohuo
Povel
Shida nafas ya kucheza ndani ya bavarian wa ujerumani ndo maana mwandishi anawas was Kama hataendelea kukaaaa benchi
Rose kapinga
Uamuzi ni wake inabidi aangalie sehemu sahihi!!
aisha
Ni jambo la maana kwasababu mpira unataka kazi
Theckla
Maamuzi mazuri
Neema
Si abaki tu
sylvester
Ataendelea kujifunza mengi pale ingawa hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara
Samira
Abaki tu ingawa kupata namba itakua tabu kidogo
Latifa juma mohamed
Ni mchezaji huyu wa Ufaransa na mshindi wa kombe la Dunia alijiunga na Bayern Munich akitokea Atletico Madrid kwa kitita cha €80m msimu 2019-20, ni maamuz mazur kuendelea kusalia.
Tumaini kasalile
Safi wacha ambanie namba
Johnmary joel
Baki hapohapo Kazan timu isongembele zaidi#meridianbett
warda
Bora ajikalie hapo hapo kwenye vile anapapenda#Meridianbettz
felister
Bora kama umeamua ivyo ijapokua hutopata nafasi ya kucheza kila mara
Adelta
Maamuzi yake Ni sahihi@meridianbettz@meridianbettz
Ester jackson
Uwamuzi ni wake tu sisi mashabiki tunasubiri tu burudani
Flomena
Uwamuzi wake uko sahihi
Elika
Shida namba buyernmunich
Zeiyana
Me naona bayren hawana mpango nae Hernandez haangalie tu upande mwengine haendeleze kipaji chake kwani mchezaji mwenyew histor kubwa hata kama hatastaafu leo
Caroline
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Hernandez uwamuzi anao yeye kufanya anacho jisikia kwenye moyo wake
Fatina
Ni Jambo zur sanaa
Janeflora malisa
Msimamo muhim
rama
bado anaitaji kutwa makombe akiwa na hapo vizuri
Fatuma kasomo
Maamuzi niyake
Salma ngende
Yupo sahihi
Tatu
Hapo ndio panafaa kukuza kipaji chake
farida ahmadi
Maamuzi mazuri
Rehema
Good
Gabriel
safi kuendeleza kukipiga bayern
Saupha mohamed
Maamuzi yake si vibaya
marry
maaamuz ake mazur
Genia Sikaluzwe
Maamzi mazuri
Dorophina
Itakuwa poa akiendelea kuitumikia bayern
magdalena
hernandez aendelee kuonesha juhudi na jitihada za kutosha atapata tu namba
Faraja molell
Abak na msimamo Huo huo
Samiah
Yupo sahihiii
David Pere
Tatizo pekee litakalokuwepo ndani ya Bayern ni kupata namba