Jadon Sancho amekuwa hayupo kwenye fomu nzuri msimu huu lakini atarejea kwenye kiwango chake bora katika timu ya Borussia Dortmund, hii ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa michezo Michael Zorc. …
Makala nyingine
Patrick Vieira ametimuliwa na timu ya Ligue 1, Nice kufuatia kupoteza mechi tano katika msimu 2020-21. Kocha huyo wa miaka 44 alikuwa akisimamia Nice tangu Juni 2018, kazi yake ya …
Mshambuliaji wa Dortmund, Erling Haaland anatarajia kurejea mapema dimbani baada ya kupata taarifa njema juu ya jeraha lake. Wasi wasi ulikuwa nyota huyu angekawia kurejea dimbani, na alitemwa kwenye kikosi …
Kocha wa Bayern Munich Hansi Flick anataka kuona mengi kutoka kwa mchezaji Leroy Sane lakini amesema mshambuliaji huyo anahitaji muda. Tangu ajiunge na Bayern akitokea Manchester City kwa dau linaloripotiwa …
Michael Zorc ametupilia mbali uvumi unao endelea juu ya staa Erling Haaland kuihama klabu ya Borussia Dortmund na kusema Dortmund ina mpango wa muda mrefu na nyota huyo. Haaland ameendelea …
Kifo cha gwiji wa soka ulimwenguni Diego Maradona kimeshitua watu wengi na kimefanya kuwa habari kubwa kwenye vyombo vya habari sehemu mablimbali dunia. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 60 …
Hansi Flick amemuelezea mlinda mlango wa Bayern Munich Manuel Neuer kama “Mtaalamu” baada ya kuonesha kiwango kikubwa siku ya Jumatano katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Salzburg kwenye michuano ya …
Shirikisho la soka Ulimenguni FIFA limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020, Tuzo hiyo itatolewa Disemba 17, 2020 sambamba na tuzo ya kocha bora, …
Kiungo wa Borussia Dortmund Reinier amepimwa na kukutwa maambukizi ya virusi vya corona, klabu hiyo ya Ujerumani imethibitisha. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18, ambaye alijiunga na Dortmund kwa …
Frank Ribery amehusika katika kamba 40 msimu mzima, ametwaa tuzo ya mchezaji bora Bundesliga, amebeba treble pale Ujerumani, kabatini amezifungia medali za UEFA, taji la ligi kuu na DFB POKAL …
Matteo Guendouzi amesema alikuwa akiumia alipokosa nafasi kubwa ya kucheza na timu ya Arsenal na alihitaji kuondoka ili aokoe soka lake. Guendouzi alijiunga na klabu ya Hertha Berlin kwa mkopo …
Youssoufa Moukoko amekuwa mchezaji mdogo zaidi kucheza katika ligi ya Bundesliga baada ya kuichezea Borussia Dortmund mchezo wake wa kwanza dhidi ya Hertha Berlin siku ya Jumamosi. Moukoko ambaye …
Jurgen Klopp amewapa changamoto vijana wake wa Liverpool kufuta mfano wa Mats Hummels na Neven Subotic ili kuisadia safu ya ulinzi ya Reds baada ya kukiri kuwa hana uhakika wa …
Nyota Borussia Dortmund Erling Haaland ametuzwa tuzo ya Golden Boy mwaka 2020 Tuzo hutolewa na gazeti la nchini Italia Tuttosport na mwaka uliyopita ilichukuliwa na nyota wa Atletico Madrid Joao …
Mchezaji wa Borussia Dortmund – Giovanni Reyna, amesaini kandarasi mpya itakayombakiza klabuni hapo mpaka 2025. Ikiwa ni wiki 1 imepita tangu alipotimiza miaka 18 na kupata nafasi ya kuitumikia timu …
Nyota wa Real Betis Marc Bartra anaamini elimu aliyo ipata Bundesliga ilimsaidia kupeleka soka lake katika kiwango kikubwa. Bartra mwenye umri wa miaka 29, alijifunza biashara yake alikuwa katika akademi …
Luka Jovic amekuwa akipambana sana kuwa katika kiwango tangu atue Real Madrid mwaka uliyopita lakini nyota huyo wa Serbia amefunga goli nyingi katika michezo mitatu akiwa na timu ya taifa …
Walikuwa juu sana kwenye soka la dunia 1996 wanabeba EURO pale Wembley kwa kumfunga Jamhuri ya Czech, kisha 1997 Borussia Dortmund anaenda kubeba UEFA, 2002 wanacheza fainali kombe la dunia …
Binadamu sisi tumelala muda wote, alisema Muhammad Ali kisha akamalizia kuwa kuamka kwetu ni pale tu baada ya kufa, nafikiri tulikuwa tumelala hatukuwahi ifahamu simulizi hii ya leo. Fumba macho …
Kila kukicha, ulimwengu wa soka unakumbwa na habari mbalimbali – zipo za kufurahisha, kusikitisha, kushtusha na zingine zinashangaza. Jerome Boateng ashangazwa na tetesi za kuondoka Bayern Munich. Licha ya kwamba …

