Moukoko Mchezaji Mdogo Zaidi Kucheza Bundesliga.

Youssoufa Moukoko amekuwa mchezaji mdogo zaidi kucheza katika ligi ya Bundesliga baada ya kuichezea Borussia Dortmund mchezo wake wa kwanza dhidi ya Hertha Berlin siku ya Jumamosi.

 

Moukoko Mchezaji Mdogo Zaidi Kucheza Bundesliga.
Youssoufa Moukoko

Moukoko ambaye ametimiza umri wa miaka 16 siku ya Ijumaa amefanikisha ndoto yake ya muda mrefu kucheza katika timu ya wakubwa ya Borussia Dortmund akingia kipindi cha pili mchezo ambao Dortmund ilishinda kwa 5-2 huku dunia ikishuhudia mshindi wa tuzo ya Golden Boy Erling Haaland akiweka wavuni goli nne.

Kinda huyo kwa muda mrefu alikuwa akizingatiwa baada ya kufanya mabalaa katika akademi ya Dortmund kwa rekodi ya kufunga goli nyingi.

Moukoko amefunga goli 34 katika mechi 20 katika Bundesliga ya vijana msimu uliyopita wakati pia amekuwa mfungaji bora katika UEFA Youth League kipindi alichokuwa na mika 14 mwezi Oktoba 2019.

Kipindi cha nyuma sheria za Bundesliga ziliruhusu wachezaji wenye umri mdogo kujiunga na timu ya wakubwa kabla ya kufikisha miaka 17 wakiwa 16 na miezi sita.

Lakini sheria zote zimebadilishwa mwezi April, sasa wachezaji watajiunga na timu za wakubwa mara baada ya kufikisha miaka 16 na Moukoko ndiye mchezaji wa kwanza kupata bahati hiyo.

Katika umri wa miaka 16 na siku moja ameipita rekodi ya mchezaji wa zamani wa BVB Nur Sahin (miaka 16 na miezi 11) Yan-Bisseck miaka 16 miezi 11 na siku 28.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

31 Komentara

    Pongezi zako dogo kwakaz nzuri

    Jibu

    Pongez kwako

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Moukoko ananikumbusha Wayne Rooney alivyopata nafasi kucheza timu ya wakubwa punde baada ya kufikisha miaka 17 wakati huo

    Jibu

    Dogo fundi

    Jibu

    Kijana Yuko vizuri pongezi kwao

    Jibu

    Safi sana kijana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Maukoko hongera zake

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Hangera sana dogo

    Jibu

    Pongezi kwa dogo

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pongezi ziende kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mukoko hakika ameandika historia

    Jibu

    Dogo yuko vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Mi hilo jina lake tu 🤣🤣

    Jibu

    Safi sana dogo atafika mbali sana na uwo udogo wake.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safi sana kijana

    Jibu

    kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kijana piga kazi

    Jibu

    Moukoko zao jipya ndani ya dortmund

    Jibu

    Nilijua mukoko wa yanga

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.