Firmino Akanusha Kuwa Vitani na Diogo Jota.

Roberto Firmino amekanusha kwamba yupo kwenye vita binafsi na Diogo Jota kwa kuigombea namba tisa katika timu ya Liverpool.

Jota yupo kwenye fomu tangu atue akitokea Wolves kwa kitita kinachoripotiwa £41m na amekuwa na mataokeo makubwa chanya kwa Jurgen Klopp.

Mchezaji huyo mwenye umri wa 23 amefunga magoli matatu katika michezo sita ndani ya Premier League na kufunga magoli manne katika mechi tatu za Champions League ikijumuishwa na hat-trick katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Atalanta.

Although ingawa amecheza mechi chache katika ligi kuliko Firmino msimu huu, Jota amejaribu kupiga mashuti 13 kama Firmino ambaye amefunga goli moja pekee.

Kwa kiwango hicho Jota amembadili nafasi Firmino katika festi ileveni lakini amesisitiza wala hashindani na Jota katika nafasi hiyo.

“Liverpool ina kikosi cha wachezaji wakubwa, kwa hiyo kupata nafasi hapa siyo rahisi na nilitumika katika nafasi hiyo.” Firmino alisema kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Leicester City hii ni kwa mujibu wa Mirror.

“Diogo ni mchezaji bora kabisa na anapata ushirikiano mzuri kwenye kikosi, wote tunacheza kwa bidii kisha kocha anachagua nani ataanza nani atacheza nani atakua nje, sina vita yoyote binafsi na yeye.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

28 Komentara

    Kwahiyo ni uzushi tu

    Jibu

    Usajiri wa Diogo Jota ulikuwa makini na Firmino bado ana kiwango kuzuri,ni kawaida mchezaji mpya anayejitambua anaposajiriwa na timu kubwa hujituma zaidi kuchukua nafasi za waliokuwepo

    Jibu

    Firmino bado ana kiwango kizuri Sana namchezaji akisajiriwa kwenye krabu lazima apambane awe kwenye nafasi nzuri

    Jibu

    Kila mtu yuko na umuhimu kwenye kiwango chake achen kuwashndanisha

    Jibu

    Firmino yuko vizuri sana

    Jibu

    Firmino ana kiwango kizuri Sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Firmino anajitahidi

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Kijana yuko makini

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Kijana machachali namkubali sana

    Jibu

    Namkubali sanaa kjn

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Firminho ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Si sawa

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Firmino Yuko vizuri sana

    Jibu

    Firmino yupo vizuri

    Jibu

    duh hii ni balaa sana kwa watu wawili kulilia namba moja

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Yupo vizuri huyo kijana

    Jibu

    Diogo jota mtu mwingine firmino ajafika le vo zake anfunga si kwa klabu hata spain

    Jibu

    Watu kwa kuzushia wenzao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.