Mikel Arteta anaamini Arsenal itakuwa katika usafiri mgumu wakati watakapo tua katika viunga vya Elland Road kuikabili Leeds United.
Ratiba ya Premier ikiwa imefikia robo Gunners wmefanikiwa kushinda michezo minne na kufungwa michezo minne katika mechi nane msimu huu.
Na wakati, wenyeji wakiwa hawana muendelezo mzuri Arteta anaona kwa kiasi fulani kuna matarajio kutoka kwa timu ya Marcelo Bielsa kwa maana ya kujaribu kupata matokeo.
Alisema: “Watakuja wakiwa wapo kamilikama wanavyofanya mara zote, walikuwa na wiki mbili za kujiandaa kwajili ya mechi hii.
“Hawana wachezaji wengi wanao wakilisha timu za taifa kama sisi sitarajii kuona wakibadilika sana.
“Hawaangalii wanacheza na nani niliwaona msimu uliyopita wapo katika kiwango kikubwa na mara zote huwa wanajaribu kushinda.
Baada ya kupoteza kwa 4-1 dhidi ya Crystal Palace mchezo wao wa mwishona kuweka alama ya kupoteza mchezo wa tatu ndani ya mechi nne
Leeds wataimarika baada ya kiungo wao Kalvin Phillips kupona tatizo la bega wakati mshambuliaji wa Spain Rodrigo anajiandaa kuwa benchi baada ya kumaliza muda wa kujitenga.
Arsenal watakuwa bila Thomas Partey mwenye tatizo la paja pamoja na Sead Kolasinac na Mohamed Elneny baada ya wawili hao kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona.
Je wajua?
Arsenal wameshinda michezo yao tisa kati ya 11 kwenye Premier League mjini Yorkshire, ingawa walipoteza mchezo wao wa ugenini dhidi Sheffield United mwezi Oktoba 2019.
Leeds wamepoteza michezo yao miwili ya Premier League, bado hawajapoteza michezo mitatu wakiwa chini ya Biesla.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Adelta
Mashabiki tumeielewa hii makala
Shakila mrope
Asant kwa taarifa
Caroline
Arteta anajitaidi kuhamasisha wachezaji wa Arsenal
Asia Abdy
Arsenal Wana viungo wazuri na kocha wao yuko makini
Ester jackson
Kocha Mikel Arteta anajiamini sana kwa sababu anawachezaji wazuri wanaoichezea timu ya taifa ila asisahau mpira dk 90
Fatina mfingi
Imekaa powah hii
Sarah
Iko poa
Sadick
Leeds inacheza open football,inashambulia muda wote na Arsenal inacheza kwa mipango na uangalifu eneo la Ulinzi na kiungo. Nabashiri mchezo kuwa na magoli 3 na kuendelea
Sania
Uchambuzi bomba
Sauda
Mtanange wa kibabe
Hopemwaikuka
Mambo si mambo
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana kocha Arteta anajua nini anakifanya haipingwi hiyo kwake
Angelina
Nice update
Rahma
Shukrani kwa tahalifa
Elika
Hatare sana hii
Fatuma kasomo
Iko poa
aisha
Ahsanteni sana kwa taarifa
Rehema
Inapendeza
Povel
Uchambuzi mzuri nataumai gunner wanawez kupata matokeo kwny mchezo wa leo
Janeflora malisa
Safi
Saupha mohamed
Safi
Theonestina
Vizur
Mwajumah
Mtanange wa kibabe
Tatu
Arteta yupo vizuri kwenye kufundisha
magdalena
walikuwa na wakati mgumu sana ila arteta yuko makini sana katika ufundishaji wake
Mariam mtandama
Safi
Issa
Ilikua mechi ngumu kwa arteta
warda
habari nzuri
Chiku
Makala imetulia